

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mr michuzi habari za kazi. mimi nina swali 1 sisi watanzania tunjifanya siyo wabaguzi sasa yule dada wa kitanzania mwnye asili ya kihindi mbona tumembagua? na kama waliona kwamba yeye si mtz kwa nini walimkubali ashiriki na mpaka anashinda wa bongo tulikuwepo wapi? AIBU JUU YETU KWANI SASA DUNIA NZIMA INAJUA KAMA SISI WABAGUZI TENA KUSHINDA MAKABURU
ReplyDeleteKwa kweli hawa ni ma-Miss wa ukweli - siyo wa kuunganisha vipande vipande.
ReplyDeleteAll the best
Anon wa mwanzo hujakosea - tanzania kweli ni wabaguzi ndio maana hatuendelei daima... wenzetu tayari washapata rais mweusi USA sisi eti baso tunabagua.. sasa aibu imetukaa na hadhi pia ishatutoka.. isitoshe wenzetu wenye asili ya kiasia watanzania mashaanza ktuona wabaguzi na watarespond nao kutubagua zaidi - maana hawatotuamini maisha.. sasa hii itazidi kujenga chuki minogoni mwetu..
ReplyDeletetuliyataka sisi haya yote
miss wetu ana wakati mgumu missjamaica ni mzuri sana,halafu nimesoma profile yake nia alishashiriki miss world na ni model wa muda mrefu hii ni changamoto ma miss waliopita wenye viezo wanaweza kushiriki piana zawadi ziwe nzuri jamani miss universe jamaica wao walitoa cash almost 60mil cash na gari lenye thamani ya 80mil za bongo tuwaangalie wenzetu na tuwape moyo warembo wajitokeze tanazania ina warembo wengi sana.
ReplyDeleteaiyaiyaiyaaaaaaa
ReplyDelete