Mwanafunzi wa Kidato cha Sita wa Masomo ya Historia , Kiswahili na Lugha(HGL) kutoka Shule ya Kimataifa ya High View na Mtunzi wa Kitabu cha ushairi kwa lugha ya Kiingereza kinachojulikana kama "IF TOMORROW COMES" Mohamed Juma Shaban(katikati) akifafanua maudhui ya kitabu chake leo jijini Dar es salaam chenye mashairi 40 . Wengine ni Mhariri wa Kitabu Joseph Alban Joseph(kulia) na Mama yake mdogo Mwasham Iddi Bakar.
(Picha na Tiganya Vincent - Globu ya Jamii)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera sana Mohamed.
    Unanikumbusha Mzee Faraji Katalambula. Utakutana na vikwazo vya kukukatisha tamaa lakini ukilijua hilo haitakusumbua. Gawanya muda wako vizuri na Mungu atakubariki.

    Mdau.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana kijana! Ni mwanzo mzuri; na inatia moyo.

    Itakuwa vizuri tukapata na taarifa zaidi, hasa za upatikanaji wake na bei. Pia, je, kitatumiwa kwenye mitaala ya shule (za msingi au Sekondari)?

    ReplyDelete
  3. Hongera mdogo wngu kiumri na mkubwa wangu kielimu, fuata tu nyayo za machochoki wa kiponda hyo ndio elimu bora ila msiwe mnatunga mapenzi tu maana vijana kwa mapenzi....
    God bless u

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...