Shekhe Michuzi,
Nakushukuru sana kwa kutupasha habari mbali mbali za kibongo.
Kutokana na munasaba wa mwezi huu mtukufu naomba unirushie hii websit http://tanzil.info/
ni ya Quraan unaweza ukasikiliza kwa sauti za wasomaji woote maarufu + translation kwa lugha nyingi tu ikiwemo kiswahili na pia unaweza uka search maneno ndani ya msahafu.

Jazaak Allahu Khayr
Mdau Abdulnasser Al-Jabry
http://aljabry85.blogspot.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Jazak Allahu Kheri, shukran ndgu yangu

    ReplyDelete
  2. thanks brother,ramadhan karim

    mdau
    konya,turkey

    ReplyDelete
  3. thanks brother,,

    ReplyDelete
  4. Mashaallah, mungu akulipe thawabu wingi wa mchanga wa bahari kwa kila atakayefungua na kuisikiliza website hii. Site hii nimeipenda saaana ni madrasa on its own

    ReplyDelete
  5. Mashallah hii ni miongoni mwa baraka za mwezi mtukufu wa Ramadhani.

    ReplyDelete
  6. Ramadan Mubarak. AHsante sana kwa website hii.. Mungu akujazie kheri wewe uliotuonyesha na wale waliotengeneza hii kwa kweli ni madrasa tosha kabisa. SHukuarani sana!

    ReplyDelete
  7. Ankal umenivunja mbavu, yaani jamaa amakuita shehe kimakosa na wewe umeitika:)

    Mdau, asante kwa kuleta hii taarifa.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  8. Akhii...shukran sana...angalau tutapata nafasi ya kupiga msasa hizi nyoyo zilizo ingia kutu
    jazzakum allah khair
    wa ramadhan kariim

    ReplyDelete
  9. walla ndugu yangu nakuonea wivu kwa fadhil mola atakazokulipa kwa kuonesha njia ya heri
    allah barik

    ReplyDelete
  10. Allwahu Barreek,Mmungu akujaze kheri nyingi kwako uliotutumia na kwa alietengeneza website hii. Alhamdulillah ni maendeleo makubwa na Jazzza kubwa kwetu waislam sote. Inshaalwah mmungu atatufanya tuwe wenye kuamin na kutekeleza kwa kuifaham dini yetu na siyo kufuata ilimradi tu sababu ni wazaliwa ndani ya uislam.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...