Shekhe Michuzi,
Nakushukuru sana kwa kutupasha habari mbali mbali za kibongo.
Kutokana na munasaba wa mwezi huu mtukufu naomba unirushie hii websit http://tanzil.info/
Nakushukuru sana kwa kutupasha habari mbali mbali za kibongo.
Kutokana na munasaba wa mwezi huu mtukufu naomba unirushie hii websit http://tanzil.info/
ni ya Quraan unaweza ukasikiliza kwa sauti za wasomaji woote maarufu + translation kwa lugha nyingi tu ikiwemo kiswahili na pia unaweza uka search maneno ndani ya msahafu.
Jazaak Allahu Khayr
Mdau Abdulnasser Al-Jabry
http://aljabry85.blogspot.com/
Jazaak Allahu Khayr
Mdau Abdulnasser Al-Jabry
http://aljabry85.blogspot.com/
Jazak Allahu Kheri, shukran ndgu yangu
ReplyDeletethanks brother,ramadhan karim
ReplyDeletemdau
konya,turkey
thanks brother,,
ReplyDeleteMashaallah, mungu akulipe thawabu wingi wa mchanga wa bahari kwa kila atakayefungua na kuisikiliza website hii. Site hii nimeipenda saaana ni madrasa on its own
ReplyDeleteMashallah hii ni miongoni mwa baraka za mwezi mtukufu wa Ramadhani.
ReplyDeleteRamadan Mubarak. AHsante sana kwa website hii.. Mungu akujazie kheri wewe uliotuonyesha na wale waliotengeneza hii kwa kweli ni madrasa tosha kabisa. SHukuarani sana!
ReplyDeleteAnkal umenivunja mbavu, yaani jamaa amakuita shehe kimakosa na wewe umeitika:)
ReplyDeleteMdau, asante kwa kuleta hii taarifa.
(US Blogger)
Akhii...shukran sana...angalau tutapata nafasi ya kupiga msasa hizi nyoyo zilizo ingia kutu
ReplyDeletejazzakum allah khair
wa ramadhan kariim
walla ndugu yangu nakuonea wivu kwa fadhil mola atakazokulipa kwa kuonesha njia ya heri
ReplyDeleteallah barik
Allwahu Barreek,Mmungu akujaze kheri nyingi kwako uliotutumia na kwa alietengeneza website hii. Alhamdulillah ni maendeleo makubwa na Jazzza kubwa kwetu waislam sote. Inshaalwah mmungu atatufanya tuwe wenye kuamin na kutekeleza kwa kuifaham dini yetu na siyo kufuata ilimradi tu sababu ni wazaliwa ndani ya uislam.
ReplyDelete