Pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bw Leonidas .T. Gama akikata utepe kuashiria ufunguzi Rasmi wa Tawi jipya la huduma kwa wateja la kampuni ya simu za mkononi la Tigo lililofunguliwa leo mtaa wa msimbazi na Pemba. Kushoto kwake anaeshuhudia ni Afisa Muendeshaji Mkuu Biashara na Masoko bwana Diego Gutiérrez . wakati wa ufunguzi wa tawi hilo jipya mtaa wa kariakoo pia Tigo ilitangaza kufungwa rasmi kwa promosheni yao iliyoendeshwa kwa miezi mitatu ya JIKOKI na Tigo
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bw Leonidas .T. Gama akipokea zawadi kifurushi cha huduma zinazotolewa na Tigotoka kwa mmoja wa Afisa wa Tigo huduma kwa wateja Beatrice Kinabo ikiwa ni maalum kwa kumpongeza mara baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi Rasmi wa Tawi jipya la huduma kwa wateja la kampuni ya simu za mkononi Tigo lililofunguliwa leo mtaa wa msimabazi na Pemba. Kushoto mwa Beatrice ni Afisa Muendeshaji Mkuu Biashara na Masoko bwana Diego Gutiérrez. 

Duh!... Mkuu wa wilaya huyo... miye yangu macho tuu
ReplyDeleteassalaam alaikum, napenda nifahamu kwamba iwapo mnatangazo la Vodacom haitokuwa tatizo kwa stori ya tigo
ReplyDeletesi tatizo kwa kutangaza kampuni mbili za simu, kwa sababu huwa wanajifanya namna gani kwa kuwamiliki wanaowapoa matangazo
ReplyDeletehivi ni macho yangu au,mbona huyo beatrice kinabo simuoni...
ReplyDeletehata mie nashanga! kumbe kuna beatrice wa kiume nowadays!
ReplyDeleteNyinyi ma-anonys mnayemuuliza Beatrice vipi nyinyi? Hamuoni kama Beatrice kazibwa na TUMBO la mkuu wa wilaya, mzee L Gama. Damn, jamaa ana tumbo kitu. Dah, naona anahitaji Diet ya nguvu saaaana.
ReplyDeleteSasa unafungaje promotion bila kutangaza mshindi, au ndio wameliwa maana walisema watamtangaza mshindi mwisho wa promotion, afu kama vipi hawa watu wa vituo vya habari wanote mwisho wa hizi promotion, maana nimesikia clouds leo kupitia Leo tena watangazaji wote wanasisitiza watu waendelee kushiriki
ReplyDeleteMdau