Home
Unlabelled
Twiga Stars vs. Dos FC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi tunamshukuru aliyetuletea hii. Kazi njema na tunawaombea Twiga wazidi kufanya mazoezi zaidi. Hata hivyo binafsi nina wasiwasi na ukataji wa hii clip. Yaani nasema ni vyema kuonesha mchezo wa pande zote mbili.
ReplyDeletehadi raha jamani, japokuwa wamecheza na tim ndogo na kuadhibiwa ipasavyo na tim kubwa ila wanajitahid sana, dada zangu wanasukuma mpira kuliko hata kaka zangu, hata kwa rank ya FIFA tupo kwenye position nzuri kuliko wanaume, siwalaumu sana sababu tulichelewa kuwahimiza kuhusu mpira wa miguu, safii sana
ReplyDeletewanajitahidi sana kwa kweli, position ya 18 kwa Afrika na 113 kwa dunia nzima.. ni nchi 19 tu za Afrika zenye tim za wanawake zinazotambulika na FIFA, ikianza Nigeria na kumaliziwa na Botswana, maelezo zaid nenda website ya Fifa
ReplyDeleteKaka Michuzi kumbe yule Chatu mkubwa aliyetoroka hapa mjini Dar bado hajapatikana; angalia kurasa ya 2 ya The citizen ya leo. Wakati wizara imeunda timu ya experts, waganga wa jadi pia wamejitokeza na kuomba waingizwe kwenye tume hiyo lakini wizara inasuasua kuwaingiza.
ReplyDeleteNext release ya rank zitatolewa August 13, tuone kama tutakuwa tumepandishwa ama kushushwa ila natumai tumejitahid sana msimu huu
ReplyDeleteOooh my my my my!I don't see a reason y our lovely president(JK) keep on wasting money to fund Taifa stair.
ReplyDeletePersonally,I can see a great potential in these young women.Am sure we are not going to regreat if at we decide to shift attention and effort.For sure,It's not going to take that long till we obtain some tangible results(ROI) if at all we decide to invest on them.
Mkulima-Kijijini Gezaulole.
Twiga msije mkageuka fisi mkazamia state, shauri yenu mtakufaa na box na kubabysit bora mnaendelea kupiga soccer
ReplyDeleteEeeh bwana we! Watoto watamu!!
ReplyDeleteMimi nilishasema hawa kinadada wanapiga mpira kuliko Taifa Stars. Nilishasema wapo very comfortable kwenye mpira na ilo linahitaji kipaji sio kufundishwa. Kama wanaume wangeweza hilo tungekuwa mbali. Wakitunzwa hawa kinadada wataliletea taifa sifa kubwa mno.
ReplyDeleteDah...kina dada wanacheza gonga moja matata mno....thus y i never regret why I respect women far more than men...women are patient...listeners...open hearted...but Tanzanians tunawafuja...because we dont know who they are....I encourage all of us(men) to give dignity,love, care and respect kwa kina dada kwa ujumla.Thanks
ReplyDeleteMdau
India.
annon Thu Aug 12, 06:09:00 PM
ReplyDeletewell said nothing but truth!!
wanaume shiiida tupu
Namkubali sana rasta kwenye midfield!!
ReplyDelete