pole na swaumu kaka(kama unafunga maana sikuamini hata kidogo!)
katuni yetu hiyo hebu warushie wadau. kwa katuni zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hivi huyu mchoraji anajaribu kutwambia kuwa wabunge hupata nafasi zao za ubunge kwa kupitia kura za wavuta bangi?

    Na je mchora kikatuni anajaribu kutwambia kuwa wapiga kura ni wavuta bangi? Hii inamaanisha kuwa mchora katuni anaamini tanzania kuna wavuta bangi wengi kiasi cha kuweza mbunge kushinda kura kwa kuwategemea hao wavuta bangi!

    ReplyDelete
  2. hahahahaha,anon wa kwanza umedata.

    ReplyDelete
  3. Kaka ni vigumu sana kuelewa fasihi. Mchoraji anajaribu kueleza namna sheria zinavyopindishwa wakati wa uchaguzi kwa manufaa ya viongozi. Hiyo bangi ni njia moja tu ya kukufikishia wewe ujumbe mzito.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...