Home
Unlabelled
vinbwanga vya NATHAN MPANGALA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi huyu mchoraji anajaribu kutwambia kuwa wabunge hupata nafasi zao za ubunge kwa kupitia kura za wavuta bangi?
ReplyDeleteNa je mchora kikatuni anajaribu kutwambia kuwa wapiga kura ni wavuta bangi? Hii inamaanisha kuwa mchora katuni anaamini tanzania kuna wavuta bangi wengi kiasi cha kuweza mbunge kushinda kura kwa kuwategemea hao wavuta bangi!
hahahahaha,anon wa kwanza umedata.
ReplyDeleteKaka ni vigumu sana kuelewa fasihi. Mchoraji anajaribu kueleza namna sheria zinavyopindishwa wakati wa uchaguzi kwa manufaa ya viongozi. Hiyo bangi ni njia moja tu ya kukufikishia wewe ujumbe mzito.
ReplyDelete