Afisa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania ,Elihuruma Ngowi akiwagawia Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 Line za simu, baada ya kumaliza kutoa semina kwa warembo hao iliyohusiana na huduma zinazotolewa na Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania .iliyofanyika katika Hoteli ya Giraffe View .Meneja mauzo wa M Pesa wa Vodacom Tanzania ,Jerome Mnishi akifafanua jinsi huduma ya M Pesa inavyofanya kazi kwa Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010.iliyofanyika katika kambi yao iliyopo Giraffe Hotel.
Mmoja wa Warembo wanaowania Taji la Vodacom Miss Tanzania 2010, Irene Hezron (22) akiuliza swali kuhusiana na huduma ya M-PESA katika semina iliyofanyika leo katika hoteli ya Geraffe walikoweka kambi warembo hao.Jumla ya warembo 30 walipewa mafunzo juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Kampuni ya Vodacom Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Du! Jerome Munishiiii! hongera sana kwa kutuelimishia warembo wetu watarajiwa. Nimefurahi kukuona ukiwa huna shaka katikakusimama kwa miguu youte miwili. Hongera na mungu akujalie mduruuuuuuuu!(maana yakeke ni mwenye nguvu)

    ReplyDelete
  2. Huree Huruma..keep going

    ReplyDelete
  3. Nkidaa! Yerominiii! Nkida Saa! Hongera kwa kazi nzuri kaka. Yeromini! Ndume kweeeri !

    ReplyDelete
  4. Katika kusimama kwa miguu yote miwili??? kwani alipatwa na nini/

    ReplyDelete
  5. they look booored lols

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...