Balozi Mpya wa Tanzania nchini Uingereza Mh Peter Kallaghe aliwaalika Watanzania na kuftari pamoja nyumbani kwake jumamosi tarehe 04.09.10. Baada ya kuftari Mh Kallaghe alijitambulisha na kuwashukuru Watanzania wote waliofika nyumbani kwake. Pia aliahidi kuwa karibu na Watanzania.
-Na Urban Pulse Creative
Home
Unlabelled
Balozi Peter Kallaghe afutarisha UK
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
London inawaka waka. Wivu sina ila roho inauma! Hongera Balozi na mama Balozi. Hongera wananchi wa London. Mungu ibariki Tanzania!
ReplyDeleteHuo mwaliko ulitangaziwa wapi? Mbona asilimia kubwa ya Watanzania hatuna habari? Fanya kaji Idd party tukujue mkuu wetu mpya ndani ya Ukerwe.
ReplyDeleteNdg Anonymous, kabla sijaeleza mtizamo wangu kuhusu swali lako mwaliko ulitangazwa wapi? Nampa Hongera Balozi Kallaghe, ukichukulia kwamba toka afike nchi hii mpaka afuturishe alikuwa hajamaliza hata siku kumi, mimi sikusikia mualiko wala sikuwepo lakini nampa Hongera kaanza vizuri, na baada ya kuona video iliyorushwa na Urbun Pulse, kwenye mitandao mbali mbali ni kwamba aliona juu ya ugeni wake afanye kitu katika mwezi huu mtukufu ambao kwa ndugu zetu waislam una maana sana. lakini nina imani ataitisha kikao rasmi ili kuonana na wanaTZ wooote, usikate tamaa, HONGERA BALOZI, nina IMANI mbegu aliyoipanda balozi MAAJAR, haitakufa, kama alivyosema ustadhi mmoja, London tumepata bahati, imeondoka nyota ingarayo imekuja nyota ingarayo, NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI, Balozi Kallaghe endelea kuwa karibu na wanaTZ. kaondoka Mama kaja Baba uzi uleule, HONGERA, GLORIA
ReplyDeletehamna lolote, sifa tuu mama hawezi kumpata. Yote haya kumfurahisha rais,hana stori basi tu. balozi mwenyewe mbona hashua tupu.
ReplyDelete