Msajili wa Vyama vya Vyama Siasa John Tendwa (kushoto) akitoa tamko juu ya maazimio mbalimbali ya Baraza la Ushauri wa Vyama vya Siasa nchini ikiemo kutovitaka vyombo vya habari nchini kutokuwa wakereketwa wa vyama vya siasa. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la vyama vya Siasa Juma Ali Khatibu.
Wajumbe wa Baraza la Ushauri wa Vyama vya Siasa nchini wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es salaam . Mkutano huo ulikuwa ukiwaeleza waandishi wa habari juu ya maazimio mbalimbali yaliyofikiwa wakati wa mkutano wa Baraza.
Home
Unlabelled
Baraza la Ushauri wa Vyama vya Siasa nchini lavitaka vyombo vya habari nchini kutokuwa wakereketwa wa vyama vya siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Likushuke mtu mzima Ankal kushabikia chama kimoja haifai. Hovyoooo
ReplyDeletehii habari wanatakiwa waambiwe gazeti la mwananchi na mtanzania daima,pamoja na jamii forum kwa kumpamba slaaa,wakati hakubaliki,sasa tz wanazidi kujua siri zake,mwanzo tulijua alikimbia kanisa kisa wanawake,leo tumejua kumbe watoto wake wote ni wa nje ya ndoa,bado ameiba mke wa mtu.watanzania ni masikin lakini sio wajinga kiasi hicho kumpa kura slaa,watudanganyi,kura kwa lipumba,chadema tuwekeeni zitokabwe 2015 ndo mtapaka kura zetu.
ReplyDeleteTendwa vipi kuhusu pingamizi la Chadema la JK?, unasubiri kuletewa barau ya maamuzi toka IKULU nini?
ReplyDeletewewe anony wa Tarehe Mon Sep 06, 03:38:00 PM, hizo personal issues hv nothing to do with his ability kuongoza. unataka kuniambia marais wote walioingia madarakani hakuna asiekuwa na personal issues zake tena nzito na zinajulikana wazi?did the issues affect his performance in anyway?umbea tu ongea point sio kubwabwaja
ReplyDeleteWe anoni wa Mon Sep 06, 03:38:00 PM
ReplyDeletehivi kuna gazeti linaitwa MTANZANIA DAIMA?. Si tunataka sera bwana hatutaki personal issues. Ingekua personal issues tusingekua na Rais mwingine baada ya Nyerere na Mzee Mwinyi, je tuziseme hadharani?maana tunazijua