Home
Unlabelled
JK amnadi Profesa Maji Marefu Korogwe vijijini leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
we michu si huyu si ni mganga wa kienyeji au? kikwete kweli ananetwork tanzania hii ingawa mbabaishaji tu
ReplyDeleteKazi kwelikweli mpaka wagangawa kienyeji kugombea ubunge hii kali
ReplyDeletehuyu si mchawi jamani huyu au?waganga wa kienyeji nao wanaingia serikalini,nahisi huko bungeni ni ndumba kwenda mbele...michuzi usiibane hii sijatukana wala sijasema ktu kibaya maana wewe na ccm......utamalizia mwenyewe
ReplyDeleteDuh...Hadi Profesa Maji Marefu..mwaka huu Bongo si mchezo..Game sasa ni kwenye ulingo wa Siasa na kila Mtanzania anayo haki yakuongoza..uwezo wa kuongoza mbele kwa mbele...
ReplyDeleteMMMH! BUNGE LA 2011 NAKUENDELEA KIBOKO. ANONY.
ReplyDeleteSafi sana. Dokta anamuunga mkono Profesa.
ReplyDeleteMaji Marefu!! huyu ni yule mganga wa dawa za asili au?
ReplyDeleteKama ni yeye basi, bunge la Tanzania litakuwa la aina yake. Kutoka miti shamba mpaka ubunge.
hivi huyu mganga wa jadi aliishia wapi? hadi kwenye siasa lazima kafulia
ReplyDeleteplofesa Maji Malefu atatusaidia sana kule bungeni mana unajuwa siku izi wapinzani wanawachezeya sana wabunge wetu, na shehe yahaya apewe ubunge wakuteriwa tuwone kama wateenderea na mchezo wao, wabunge wetu awaongei sana bungeni sababu wapinzani wanachezea midomo.
ReplyDeletembunge wetu akitaka kuhuliza swari anasaau anahongea upuhuzi
kidumu
Bwana michuzi mimi naona wewe ndiye unayetoa comment , yani wanaotoa comment jamani waweke na contact zao nitafurahi kuwasiliana nao, kama anonymous uliyesema : Safi sana.Dokta anamuunga mkono Profesa.
ReplyDeleteCCM WAMEZIDI KUWEKA WATU WATATA MNO KWENYE CHAMA. HADI WAGANGA WA KIENYEJI?? NDIO MAANA KIKWETE ANAANGUKAANGUKA SOMETIMES. INAWEZEKANA NI LAANA KUTOKA KWA MUNGU HIZO.
ReplyDeletengonyani na korogwe wapi na wapi jamani mhh kali sasa
ReplyDeleteJAMANI PROFESA MAJI MAREFU AMEWABWAGA WAKINA DR. EDMUND MDOLWA; LUPATU ETC; NI MOTO WA KUOTEA MBALI.
ReplyDeleteWahaya kwa nini h- zinawashinda sana? Yaani huyu anony wa Mon Sept. 13, 06:13:00 PM amehangaika wee mpaka ujumbu haueleweki. Eti:
ReplyDelete"mbunge wetu hakitaka kuhuliza swari anasaau anahongea upuhuzi"
Mnaniudhi sana
na wewe mbona umeandika ujumbu badala ya ujumbe? na wewe kabila lako......? Turudi kwenye mada kuanzia leo sitaki tena siasa za bongo, kama kila mtu anaweza kuwa mheshimiwa. Hebu nijinyanyulie baksi zangu mie nisijepigwa kipapai bure
ReplyDeleteNa wewe mbona umeandika baksi badala ya boksi
ReplyDeleteNAONA WAPIGA BOKSI MNAPAMBANA KWA UFASAHA WA LUGHA.......!!! SAFI SANA!
ReplyDeleteMaji Marefu ni msanii kaona bungeni kuna deal na wala PCB haifanyi kazi na ana uhakika wa kupata uwaziri, kwanini asijiingize?? Poa tu katiba inasema kila mtanzania mwenye akili timamu anaweza kuwa mbunge mradi awe mkulima ama mfanyakazi.
ReplyDeleteNadhani inabidi tubadilishe katiba tuwaruhusu hata vichaa kugombea labda tutakuwa na bunge lenye nguvu.
Hongera Maji Marefu Vulata yu nyuma yako soon ataingia Chadema ama TLP kugombea ubunge.
Ha ha ha !!
ReplyDeleteNyie wabeba maboksi acheni hizo!
Huku bongo ni kipapai kwa kwenda mbele, asiye na kibuyu anabeba kifuu siku hizi.
Na hebu mcheki mkuu alivyokaa kimachale na huyo Maji Marefu!!
Haanguki mtu hapa!!
"Ngonyani na Korogwe wapi na wapi" Sijui unamaanisha nini. Lakini kama unamaanisha ninachofikiri naomba nikusihi uachane na mawazo hasi. Tanzania hakuna ukabila. Mtu anaweza kugombea cheo chochote popote aishipo ndani ya Tanzania ili mradi ni raia halali wa Jamhuri ya Muungano.
ReplyDeleteKaka Michuzi mbona naona habari za CCM tuu.
ReplyDeleteMimi nipo hapa Texas na huwa napenda hii blog kwani inatupa habari za nyumbani.
Habari za leo zimekuwa kuhusu chama tawala tuu, naiuliza kumetokea nini.
Kaka imekuwaje mbona leo ni bari za chama tawala tuu. Mimi nipo hapa Texas napiga box na huwa napenda kujua habari za nyumbani bila upendeleo. Pls tunaomba utujulishe kama hii tovuti imekuwa ya CCM.
ReplyDelete