Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania Joram Kiarie akimkabidhi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kinondoni Muslim, Rajabu Mruma msaada wa vitabu vya masomo na samani za ofisini kwa ajili ya walimu vyenye thamani ya Milioni 4/- ili kusaidia kupunguza uhaba wa vifaa unaoikabili pamoja na kuinua kiwango cha elimu. Kushoto ni Kaimu mkuu wa shule hiyo, Mohammed Songo.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kinondoni Muslim wakijisomea vitabu vilivyotolewa na benki ya KCB Tanzania mara baada ya hafla ya makabidhiano ya msaada wa vitabu vya masomo na samani za ofisini kwa ajili ya walimu vyenye thamani ya Milioni 4/- ili kusaidia kupunguza uhaba wa vifaa unaoikabili pamoja na kuinua kiwango cha elimu iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania Joram Kiarie akiwapa vitabu wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kinondoni Muslim, mara baada ya hafla ya kukabidhi msaada wa vitabu vya masomo na samani za ofisini kwa ajili ya walimu vyenye thamani ya Milioni 4/- ili kusaidia kupunguza uhaba wa vifaa unaoikabili pamoja na kuinua kiwango cha elimu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Doh! Mr. Rajabu Mruma, umekula chumvi lakini unaonekana vile vile kama nilivyokuona miaka 12 iliopita mara ya mwisho!

    ReplyDelete
  2. hapa sasa umekuwa blog ya jamii sio uwe uzushi wa ccm kila siku welcome back
    kama umesoma nyakati hakuna haja ya ushabiki wa siasa hacha wananchi waamue miaka ya leo hakuna tena vipofu wa viziwi wa kuona na kusikia yanayo tendwa na serkali watu tunakufa njaa huku wao wanatanua na mashangingi

    ReplyDelete
  3. jE, hao wasichana ni Wa Sudan kaskazi au Iran? Maana si tswira ya Kinodndoni hiyo

    ReplyDelete
  4. Mbona Mw*mv*ta simuoni hapo?

    Maana yeye ndo MTOAJI MISHAADA MKUU Tanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...