HABARI ILIYOIFIKIA GLOBU YA JAMII HIVI PUNDE,INARIPOTI KUWA JENGO LA QUALITY PLAZA LILILOPO MAENEO YA CHANG'OMBE JIJINI DAR MALI YA BW.YUSSUF MANJI LINAWAKA MOTO.
TAYARI VIKOSI VYA ZIMAMOTO VIMESHAWASILI ENEO LA TUKIO KWA AJILI YA KUKABILIANA NA KUUZIMA MOTO HUO.
CHANZO CHAKE MPAKA SASA BADO HAKIJAJULIKA.
HIVYO TUTAENDELEA KUPEANA TAARIFA KADRI ZITAKAVYOKUWA ZINAPATIKANA.

Kumekucha! kama sikosei, Manji aliwauzia watu wa mfuko wa jamii kwa bei nzuri tu. Walipa kodi wa Tanzania huwa hawana uchungu; na haya pia yatapita! Mungu ibariki Tanzania.
ReplyDeleteZimamoto hoyeeeee kazi nzuri na moto umezimwa. Nilikuwapale mida hii hii na ulianzia kuwaka pale upande wa stanbic bank. Big up zimamoto
ReplyDeleteBima!
ReplyDeleteMdau wa hapo juu Sep 24, 01:52:00 ni kweli Bima inalipa zaidi kuliko kukodisha huo mjengo.
ReplyDelete