HABARI ILIYOIFIKIA GLOBU YA JAMII HIVI PUNDE,INARIPOTI KUWA JENGO LA QUALITY PLAZA LILILOPO MAENEO YA CHANG'OMBE JIJINI DAR MALI YA BW.YUSSUF MANJI LINAWAKA MOTO.

TAYARI VIKOSI VYA ZIMAMOTO VIMESHAWASILI ENEO LA TUKIO KWA AJILI YA KUKABILIANA NA KUUZIMA MOTO HUO.

CHANZO CHAKE MPAKA SASA BADO HAKIJAJULIKA.

HIVYO TUTAENDELEA KUPEANA TAARIFA KADRI ZITAKAVYOKUWA ZINAPATIKANA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kumekucha! kama sikosei, Manji aliwauzia watu wa mfuko wa jamii kwa bei nzuri tu. Walipa kodi wa Tanzania huwa hawana uchungu; na haya pia yatapita! Mungu ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  2. Zimamoto hoyeeeee kazi nzuri na moto umezimwa. Nilikuwapale mida hii hii na ulianzia kuwaka pale upande wa stanbic bank. Big up zimamoto

    ReplyDelete
  3. Mdau wa hapo juu Sep 24, 01:52:00 ni kweli Bima inalipa zaidi kuliko kukodisha huo mjengo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...