Home
Unlabelled
chaguo la bumbuli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
i hope huyu dogo ana lafudhi ya kisambaa halisi cha milimani kama dingi wake, all the best kwenye kusaka uwaziri kwenye bunge lijalo.
ReplyDeleteI hope utakuwa MAKINI zaidi ktk masuala ya ubunge na bila shaka umepita ukiwa clean.
ReplyDeleteHakikisha unakuwa makini kwa kila hatua na utekelezaji wa ahadi zako kwa watu wako wa bumbili na kwa vyovyote vile huta potosha ama kuwapotosha kama hotuba ya rais ilivyoposha siku ya kuwahutubia wafanyakazi huko bongo. Natumanini umenielewa nasema nini. Kila la kheri kijana
Ninefurahi sana kuona sura mpya ya mbunge wa jimbo letu la Bumbuli.
ReplyDeleteKweli ni jambo la kusikitisha kuona kuwa usafiri wa kufika Bumbuli ni wa shida mara mvua ikinyesha kidogo tu, mara utasikia hatufiki Bumbuli tunaishia soni maana Bumbuli kuna mvua.Sasa ndugu yangu January ubunge huo hakuna tatizo tukupe muda gani ili tuamini, maana ndg yangu aliyemaliza muda wake licha ya kuwa na uzoefu serikalini na kuwa na wadhifa bungeni bado aliomba kuteuliwa licha ya kukaa madarakani miaka 15 kama sikosei na maji hakuna mabomba yenyewe yaliwekwa 1965 (WPD)na barabara ndio hivyo
michuzi wengi tunatumia internet cafe, sasa hawa kina january wanafanya tupoteze dakika tu. mpiga kura gani wa bumbuli anatumia internet bwana?
ReplyDeleteNdugu January, Mwenyezi Mungu akulinde na akupe kila la heri. Hata hivyo kumbuka kuwa bado upo katika kampeni mpaka dakika ya mwisho. Mgosi 777.
ReplyDeleteOf all the Pictures?
ReplyDeleteIt has to be running in the Family.
Mgombea asiye na upinzani hata akipata kura moja ya mke wake anakuwa mbunge.
ReplyDeleteSasa kampeni zina faida gani?
By the way, hongera sana kwa kupata kura za kutosha. Just remember wadau tuna high expectations za mabadiliko.
(US Blogger)
January amekubalika na watu wa rika zote, kwa kifupi Bumbuli tunajivunia kuwa na Mbunge kijana, msomi na mwenye nia inayoonekana wazi kabisa kushirikiana na wananchi kuleta maendeleo. God bless you brother!!!
ReplyDeletehiki kipeperushi sijajua January amekusudia nini,anyway nikiwa mwanaBumbuli namuombea kila la kheri atuongoze vyema, na pia ashirikiane na wenzie hasa Bwana kaniki maan wote ni vijana wenye uwezo wa kuwatumikia wana bumbuli,pamoja watakuwa na timu nzuri, naamini Bumbuli tumepata waziri
ReplyDeletehuyu ni kizazi kipya cha ufisadi, si vigumu kuelewa anachotaka, alipotoka watu maskini utashangaa, ataendelea pale ccm walipoachia kamba ya ufisadi!!!
ReplyDeleteFuture President...
ReplyDelete