KUTAKUWA NA TAMASHA LA MUZIKI NA INJILI KATIKA KANISA LA CATHEDRAL OF PRAISE MJINI WASHINGTON DC, WAIMBAJI MAARUFU AKIWEMO MSHINDI WA KORA AWARD KWA AFRICA GEORGE OKUDI KUWEPO MHUBIRI WA KIMATAIFA ASKOFU WALTER SMITH ATAHUDUMU


SIKU:
JUMAOSI,JUMAPILI NA JUMATATU

MUDA 1PM - 6PM KILA SIKU

MAHALI
10110 GREENBELT ROAD
LANHAM, MD 20706

MAELEZO ZAIDI PIGA
240 338 4917
301 712 2572
301 256 6018

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...