
KITAWABURUDISHA WAPENZI WA AFRICAN RUMBA
TAREHE 8 OKT 2010 KATIKA BOTI LA SILJA LINE STOCKHOLM-TALLIN.
HILI NI TAMASHA KUBWA NA LIMEANDALIWA NA RITZ SOCIETY
AMBAYO LIMEFUNGUA NIGHT CLUB KATIKATI YA JIJI LA STOCKHOLM.
DEKULA BAND AU "NGOMA YA KILO" KWA WAPENZI WA MUZIKI SWEDEN
ITAKUA MOJAWAPO NA WASANII KUTOKA KENYA,TANZANIA,UGANDA NA SENEGAL. MWANAMUZIKI DEKULA AMEAHIDI KUTIMUA VUMBI SIKU HIYO NDANI YA SILJA GALAXY.
www.ritzsociety.com
www.youtube.com/dekula2
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...