Ankal!
Unaweza ukaipost yote au kipande
Source: http://vijana.fm/2010/09/15/mdahalo-baregu-v-kinana/
The article is very balanced, na labda itafumbua macho watu wa upinzani; mwandishi amejaribu kuwa as objective as possible nadhani...
Natanguliza shukrani za dhati!
The article is very balanced, na labda itafumbua macho watu wa upinzani; mwandishi amejaribu kuwa as objective as possible nadhani...
Natanguliza shukrani za dhati!
Mdau
[Critique by "Kiranga"]
The exchanges start on a civil enough tone, and goes on to even jovial at times. This is a relief in so far as we have witnessed some less than civil exchanges, especially at the grassroot level. I have always advocated a competitive democracy that remains civil. The Jamaicans are having a lot of problems with their politics, with the JLP and PNP constantly causing political eruptions on the streets of Kingston and elsewhere on that island. I would not want to see the Tanzanian scenario degenerating into that.
[Critique by "Kiranga"]
The exchanges start on a civil enough tone, and goes on to even jovial at times. This is a relief in so far as we have witnessed some less than civil exchanges, especially at the grassroot level. I have always advocated a competitive democracy that remains civil. The Jamaicans are having a lot of problems with their politics, with the JLP and PNP constantly causing political eruptions on the streets of Kingston and elsewhere on that island. I would not want to see the Tanzanian scenario degenerating into that.
Prof. Baregu kicks off with the question of education. Sadly, for a person of the professor’s caliber, I would expect some solid statistics. I did not hear any on this front. I know Mr. Kinana later produced an anecdote to demonstrate the Kikwete administration’s commitment to education, raising the number of students in higher learning institutions from a paltry 38,000 to around 120,000.This is impressive, and while I do not wish to sound unappreciative on this commendable feat, my concerns remains with the quality of the education provided.
Elsewhere I saw the First Lady giving a rather detailed, if not exactly spirited, speech centred on eductaion while campaigning for Shukuru Kawambwa in Bagamoyo, it was also impressive.I have to say if you go by the sheer numbers reported, it is hard to say Kikwete has done nothing on the education front (and I am not a Kikwete fan by any stretch, so this is not some lovefest). Maybe he could have done better and Prof. Baregu is attempting to show that CHADEMA can do better, but without specifics this comes off hardly convincing.
CHADEMA’s policy of free education for all ( or at least non-need based full grants) is hardly practical, highly uneconomic and mostly an unfair attempt at statist largesse. Even a die hard advocate for free education like Mwl. Nyerere, a person whose gravita CHADEMA uses constantly to tout their legitimacy, denounced the cause as foolhardy.
In his May Day 1995 speech in Mbeya Nyerere argued that Tanzania now has millionaires who can afford to pay for their children’s education, so they should pay. I totally understand that there are some people who need help, and while I do not advocate governmental largesse and the welfare state, I do understand that we are not at a stage where the government can totally withdraw from some social services. I get that. But why do we need to have a non-need based grant system beats me.
This means a millionaire’s son has the same access to these grants as does a peasant’s son from Malampaka ? Where is the fairness here? In Switzerland even the penalty of a traffic offence is determined by a person’s wealth, because they figure if you have a flat fine, some people (especially millionaires) would view a $ 100 fine as pocket change and not worth worrying over.
I am not saying we should adopt a proportionate payment system, but at least make everybody pay what they can afford, don’t give out unmitigated stipends and full unequivocal grants. Especially if our resources are meagre and must be used very frugally in the first place.
I agree with Baregu’s/ CHADEMA’S vision of introducing more elective offices and doing away with presidential appointees as DC’s and RC’s for example. This is in tune with my vision of changing the topography of our politics, changing the structure of power from a top down, appointment based system which is more accountable to the president and prone to political clientilism and temptations of presidential largesse, to a bottom up, people centred, merit based and more people accountable leadership.
On CCM’s candidates passing unopposed, this clearly shows the opposition’s weakness and validates CCM’s claim that the opposition is made up mainly of “election parties”. The rebuttal from Prof. Baregu is hardly fitting. The number of constituencies with no opposition candidates is so high and does not match the number of constituents with claimed irregularities.
Claims of opposition candidates being bought off just goes to show Tanzanians that the opposition is not serious enough to nominate serious candidate. If a party can nominate someone who can easily be bought, I don’t have confidence with that party’s maturity and vetting process.
The truth remains many of the opposition candidates are very weak, unfamiliar with the issues, unexposed and even naïve. While I cannot say that CCM does not have the same problem for sure, I would expect the opposition to give Tanzanians a better choice, otherwise what is the point of replacing one mediocrity with another ? Especially if the present mediocrity is at least known (zimwi likujualo halikuli likakwisha).
The CHADEMA Kilombero constituency candidate is on record saying one does not need anything special to be MP. CHADEMA readily takes CCM rejects, with ceremonious publicity, no vetting or indoctrination. This leaves people wondering, are the CCM rejects the best that CHADEMA can offer ? What if CCM is planting it’s intelligence into CHADEMA? There is actually a case (I believe in one of the Tabora constituencies) where a CCM reject was given the CHADEMA nomination, only not to return the forms and cause the CCM candidate to go unopposed. What if this candidate had decided to contest, win under the CHADEMA banner, and sabotage the CHADEMA agenda within the parliament ?
The notion of MP’s passing unopposed is actually unconstitutional. Clause 66 of the constitution clearly list the types of MPs and how they get to be MPs. Nothing is mentioned on unopposed MPs sailing to parliament without actually being elected by Tanzanians ( not only CCM members in CCM primaries). I am surprised the opposition doesn’t mention this, maybe it is a shameful issue that they did not field a candidate in the first place and therefore mentioning that would be adding insult to injury.
But I would like to see the people getting even a “YES/ NO” vote, if only to give the MP legitimacy as chances are it would be very hard to lose in an unopposed election. Overall, this is symptomatic of a weak opposition. There is a n article from “The Citizen” detailing the demise of competitive democracy and the opposition in Tanzania (click).
On voter registration card manipulation, CHADEMA should come with a more credible story, even set up a trap to build a concrete case.
Then the spin and fluff kicks in full blown mode with Kinana asking Baregu to apologize for something he did not say. Kinana gives some sound, if general, unsolicited and self serving, advice on the need for CHADEMA to build it’s clout. This is a genuine issue.
And while CHADEMA claims that it is a young party, 18 years is not so young and if this was a person, CHADEMA would be of voting age now. Kinana also mentions the issue of CCM rejects being celebrated at CHADEMA. I pointed this out earlier elsewhere as an issue. And while I do not outright oppose party switching, I would want at least a vetting and indoctrination period.
Professor Baregu rightly rejects the categorization of his misconstrued comments as a snob to Tanzanians.
Professor Baregu rightly rejects the categorization of his misconstrued comments as a snob to Tanzanians.
He went on to invoke the Nyalali Commitee’s findings and recommendation on building a more democratic environment -a tired, if valid- excuse. What the professor does not say is how has CHADEMA pressured the government and rallied it’s base to have these recommendations actually instituted. Prof. Baregu talks about the quality of the opposition input in the parliament as endorsed by the speaker, and how this input is undermined by the sheer number of CCM MPs. Perhaps Prof. Baregu is milking the speaker’s graceful and diplomatic coalition building comments a bit too far, perhaps not. But as he further points on, without a majority the opposition will remain ornamental.
On negative campaigning, Kinana accuses CHADEMA of being over litigious and serial complainers, hence undermining their own credibility.
While CCM is good at politicking and framing the CHADEMA narrative to CCM’s advantage, and regardless of the merit of CHADEMA’s claims, there are already reports of certain sects of the workers movements announcing it’s alienation from Slaa/ CHADEMA in what is perceived as Slaa’s move to block their chances.
This then becomes a question of principles over political expediency, and I am always for principles. CHADEMA should stand it’s grounds where it thinks elections regulation are violated. CCM cannot be objective in judging CHADEMA as over litigious, that is what we expect to hear from them. While I would like to see a democracy that runs smoothly without the interference of the courts and NEC, when necessary, the appeal systems should be used with no fear of appearing ‘over litigious’.
Let the people decide whether CHADEMA is over litigious, perhaps our opposition has been “under litigious” all along and it needs to step up it’s game in that aspect.
On the question of a “level playing field” Prof. Baregu fails to make a coherent case. State media news outlet just started giving a fair share of airtime to opposition parties after some vehement protests, I expected Prof. Baregu to voice his chagrin on this, instead he downplayed the whole issue as of a minor importance and chose to dwell on the CCM stadiums -which rightly belong to all Tanzanians- being used as CCM’s properties, a matter which shouldn’t have to wait until election time to be adressed. This further validate Kinana’s claims that the opposition parties are election parties, how has the opposition raised this as an issue before ? Was it ever brought up and pursued in parliament? If it was I did not hear it, and not from lack of following.
Prof. Baregu went on to talk about the sad cowardice acts of CCM censoring it’s candidates. This is pure and simple censorship, however spinned. It looks like either CCM doesn’t have much of a record to defend, or is not very confident of it’s candidates ability to champion that record, possibly even both.
A prominent up and coming CCM cadre was quoted as endorsing this move as “ good politics” meaning politics in the negative sense of obfuscation and Machiavellian manipulations. According to him the country is poor, CCM does not have much to show for all it’s years in power, a lot of the promises made in 2005 are still unrealized, so it makes sense to refrain from debates.
And this guy is one of the rising stars.To him political expediency comes prior to accountability to the people and transparency. If this learned star has this mindset I shudder to think what the number of semi-literate candidates will think. They are probably breathing a sigh of relief and thanking the party bigwigs for not exposing their incompetency.
This is not a good look for CCM at all. And all the obfuscation Kinana gave, about the president and CCM candidates needing to go to the people are so transparent, I can see clearly through them. Is CCM this much anti-press, anti-intellectuals and anti-transparency ? What does it fear? Kinana couldn’t answer this on the issues and resorted to obfuscation and fluff.
Baregu claims the demographics of Tanzanian voters has changed so much, and the current body of voters is very youthful, and he expects his candidate to win confidently (no mention of possible results altering vote machinations was made). This remains to be seen.
walewale watumwa wa mawazo ambao wanataka kila mtu aamini wanayotaka ..hatushangai si mmetumwa mwisho wa siku mtakatiwa pande...hahaha umeahidiwa uKM nini...umechelewa .Hatudanganyiki ng'o. na Ankal ukibania hii najua imekutouch
ReplyDeleteinteresting article!
ReplyDeletewatanzanzania tunachekesha kweli,kwa nini hatumwamini mtu yoyote?jamaa katoa maoni yake,hajakulazimisha kuyakubali,kudanganyika kunatoka wapi?tuache tabia ya kuponda jamani.
ReplyDeleteWewe, kwanza kwa nini hukuandika kiswahili, halafu unasema sio mshabiki wa JK, nadhani wewe sio mshabiki tu bali unamlamba miguu JK
ReplyDeleteUlitaka Prof Baregu atoe takwimu gani, za kiasi cha watoto wa kusomesha bure? JK na serekali yake ndio wako madarakani, wana takwimu, ni zao, si za Chadema, chadema hawawezi kuzitumia-- Grow up dude!
Mwalimu katika hotuba yake alimaanisha wenye uwezo wakulipia watoto wao wapewe fursa, ndio maana private schools zikaanzishwa baada ya hapo, lakini hakumaanisha kuwa hata shule zile za serekali ambazo nyingi ni za wenye vipato vya chini wazazi watozwe ada ya shule, majengo, wapeleke madawati kila mwanafunzi ajiungapo na shule, ada za mwenge, mitihani etc. Hakusema hivyo, sikiliza vizuri hotuba yake mr Panki.
Ukitaka kutoa maoni, jitambulishe uu upande gani, acha kujifanya kuwa wewe ni independent wakati unatumia blog hii ambayo ni ya mshabiki wa ccm, na umekosoa kila kitu cha Chadema, na kuonyesha jinsi ulivyo mlamba miguu wa JK ukadiriki hata kumsifia Salma ambaye alikuwa anatamka zile takwimu kama mtu anahesabu mananasi bila hata kujua zina maana gani. Hivi ungelimuuliza Salma zile takwimu mbazo kwanza zilikuwa zinampa shida kuzitamka zina maana gani angekujibu nini. So for five years ni takwimu za elimu tu ndio wameweza kuja nazo, na huo mpango wa elimu ua msingi si ulikuwa wa Mkapa kutokana na yale madeni tuliyosamehewa, na je hizo shule zimejengwa an serekali au wananchi walizijenga? Na champion wake si Lowassa. mbona JK kamtupa? Acha ujinga wewe kibaraka
Nchi hii haiendelei kwa takwimu kaka. Ben Mkapa alitulisha takwimu za IMF ambazo nyingi ni za uongo, akairemaba Shilingi yetu kwa kupika inflation rate ndogo, hali halisi ya fedha yetu ndio unaiona sasa, uchumi bubu kama tanzania huwezi kuwa na single digit inflation, lakini watu mabutu kama wewe walamba viatu wa ccm mliziamini takwimu hizo. Leo hii mnaziamini takwimu za JK na mkewe na Kinana za kuongeza wanafunzi wa vyuo vikuu, ambao hata kuandika resume hawajui. Elimu bora ya hadi form six ni njema kuliko degree feki ya chuo kikuu. Hicho chuo cha dodoma kina vifaa na faculties wa kujivunia kutoa elimu bora? lets be serious kaka
Wewe ni CCM, ningekuheshimu kama ungejitambulisha hivyo toka mwanzo, nadhani wewe ni January Makamba type, haha
Njaa itakuua zeteta Kilanga!
ReplyDeleteWhy Dr Slaa???
ReplyDeleteMtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi machoni, wala asiye mzembe wa kufikiri, anaalikwa asome kwa uangalifu na azingatie makala hii na awashirikishe ndugu, jamaa na marafiki zake popote pale walipo..
Dr Slaa yes we can! Huyu ni mtanzania wa pili baada ya Nyerere kuchukia ufisadi kwa vitendo. Ni mtanzania wa pili kuchukia umaskini wa watanzania kwa vitendo. Ni Dr. Slaa aliyesimama na kutaja majina ya wala rushwa na mafisadi. Akataka wale wanaopinga wampeleke mahakamani. Hakuna aliyethubutu kujitokeza kumpeleka mahakamani.
Ni Dr. Slaa aliyesimama bungeni kuomba posho za wabunge kupungzwa kuzielekeza zaidi kwa watanzania maskini. Ni Dr Slaa aliyesimama bila woga kunyosha vidole kwa matumizi mabaya ya ofisi za umma. Ni Dr Slaa amekuwa mtanzania baada ya Nyerere kutoa hoja za nguvu zinazomlenga kumkomboa mtanzania maskini. Maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi? Ajira milioni moja ziko wapi? Hebu mwenye mbavu za kujibu swali hili ajibu bila unafiki!
Ni Dr Slaa anayeweza kudhibiti matumizi mabaya ya ofisi za umma. Ni Dr Slaa anayeweza kuwapa elimu ya bure watoto wetu pale mlimani. Achana na longolongo za CCM kuwatoza ushuru watoto. Waulizeni majukwaani wao Nyerere aliwatoza ada? Kama si kutaka watanzania waendelee kuwa mambumbumbu ni nini? kama si kutaka watanzania tuendeleee kuwa watumwa ni nini?
Ni Dr. Slaa anayeongelea treni ya umeme kwenda Kigoma, Dodoma, Tabora, na Mwanza. Waulize mpango wao ccm kama si kuwapa wahindi wanaoleta mabehewa ambayo mababu zetu walitumia wakati wa ukoloni. Sasa wahindi wanabaki kutudanganya na bajaji wakati vyuma chakavu vya reli sasa vinatumika kujenga vyoo. Hawa hawatutakii mema. Hawana tofauti na akina Carl Peters.
Ni Dr Slaa anayeongelea mfumko wa bei -nani hajajua dola leo hii ni sawa na tsh 1500. Uchumi unadidimia kwa kasi. Ahadi nyingine za uongo lukuki zinatolewa tena, wakati zile tulizoahidiwa mwaka 2005, hata moja haijatekelezwa. Watanzania walio wengi na hasa wa vijijini, wamelala usingizi. Wanafumbuliwa macho, lakini wamesinzia bado! Wanatabasamu, wanachekelea na kuridhika na vitisheti vya kijani na vikofia za njano. Wamekwishazoea shida kiasi kwamba wanadhani ni sehemu ya maisha yao. Ee mwenyezi Mungu, tunusuru na hili balaa..
Ni Dr.Slaa anaweza kuzuia wizi wa matrilion ya pesa kutoka migodi yetu ya Buzwagi, Geita, Bulyankulu, Buhemba, Nyamongo, Tulawaka, Nzega na Tanzanite. CCM wameshindwa kwa sababu ni washirka wakubwa na wameruhusu wizi huo. Ni Dr Slaa anaeweza kuwalipa wafanyakazi zaidi ya shilingi 350.000 achana na CCM ambayo imeshindwa kusimamia maliasili ambazo zingeliwapa wafanyakazi kima cha chini kinachokidhi mahitaji yao.
Ni Dr.Slaa anayeweza kusimamia mashirika ya umma kuleta tija achana na CCM wanaofyonza michango yetu kule, kwani haya mashirika yameshindwa nini kuwajengea nyumba wanachama wake? Mbona kwingine yameweza? Ni Dr.Slaa anayeweza kuongoza nchi bila woga, kwa utawala wa kweli wa sheria bila kuwaonea watu wala bila kulipiza visasi.
Inaendelea.....
Why Dr Slaa....????
ReplyDeleteMtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi machoni, wala asiye mzembe wa kufikiri, anaalikwa asome kwa uangalifu na azingatie makala hii na awashirikishe ndugu, jamaa na marafiki zake popote pale walipo..
Dr Slaa yes we can! Huyu ni mtanzania wa pili baada ya Nyerere kuchukia ufisadi kwa vitendo. Ni mtanzania wa pili kuchukia umaskini wa watanzania kwa vitendo. Ni Dr. Slaa aliyesimama na kutaja majina ya wala rushwa na mafisadi. Akataka wale wanaopinga wampeleke mahakamani. Hakuna aliyethubutu kujitokeza kumpeleka mahakamani.
Ni Dr. Slaa aliyesimama bungeni kuomba posho za wabunge kupungzwa kuzielekeza zaidi kwa watanzania maskini. Ni Dr Slaa aliyesimama bila woga kunyosha vidole kwa matumizi mabaya ya ofisi za umma. Ni Dr Slaa amekuwa mtanzania baada ya Nyerere kutoa hoja za nguvu zinazomlenga kumkomboa mtanzania maskini. Maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi? Ajira milioni moja ziko wapi? Hebu mwenye mbavu za kujibu swali hili ajibu bila unafiki!
Ni Dr Slaa anayeweza kudhibiti matumizi mabaya ya ofisi za umma. Ni Dr Slaa anayeweza kuwapa elimu ya bure watoto wetu pale mlimani. Achana na longolongo za CCM kuwatoza ushuru watoto. Waulizeni majukwaani wao Nyerere aliwatoza ada? Kama si kutaka watanzania waendelee kuwa mambumbumbu ni nini? kama si kutaka watanzania tuendeleee kuwa watumwa ni nini?
Ni Dr. Slaa anayeongelea treni ya umeme kwenda Kigoma, Dodoma, Tabora, na Mwanza. Waulize mpango wao ccm kama si kuwapa wahindi wanaoleta mabehewa ambayo mababu zetu walitumia wakati wa ukoloni. Sasa wahindi wanabaki kutudanganya na bajaji wakati vyuma chakavu vya reli sasa vinatumika kujenga vyoo. Hawa hawatutakii mema. Hawana tofauti na akina Carl Peters.
Ni Dr Slaa anayeongelea mfumko wa bei -nani hajajua dola leo hii ni sawa na tsh 1500. Uchumi unadidimia kwa kasi. Ahadi nyingine za uongo lukuki zinatolewa tena, wakati zile tulizoahidiwa mwaka 2005, hata moja haijatekelezwa. Watanzania walio wengi na hasa wa vijijini, wamelala usingizi. Wanafumbuliwa macho, lakini wamesinzia bado! Wanatabasamu, wanachekelea na kuridhika na vitisheti vya kijani na vikofia za njano. Wamekwishazoea shida kiasi kwamba wanadhani ni sehemu ya maisha yao. Ee mwenyezi Mungu, tunusuru na hili balaa..
Inaendelea.....
Hivi kuna mtu hajui mapolisi wanalala kwenye vibanda vya mabati? Hivi kuna ambao hawajui mapolisi watendaji wanalipwa laki moja? Wamekosa nini hawa? Ni ajabu! pamoja na laki yao moja utakuta bado wanatumika kuwanyanyasa watetezi wao. Hata maaskari amkeni hiyo laki moja yenu haina tija hadi mrubuniwe kuwanyanyasa wapinzani ambao kimsingi wanawatetea ninyi! Hivi maaskari mnayo macho ya kuona? Jamani tuache woga inawezekana! Mbona Kenya wameweza? Mbona malawi wameweza?Mbona zimbabwe wameweza? Mbona Ghana wameweza? Kufanya mabadiliko sahihi, inawezakana na nafasi ni hii tuitumie.
ReplyDeleteTumtume Dr Slaa atukurupushie wezi wote na atuwekee katiba sawa. Huo ndio msingi wa yote. Ni Dr. Slaa asiyeogopa kuwepo na mgombea binafsi. CCM hili hawaliwezi. Wamelipinga hadi mahakamani. Wanataka wao tu ndio waendelee kututawala na kutunyonya.
Jamani 2010 hakuna kudanganyika! enough is enough. Acheni kudanganyika. Wakati ndio huu. Watanzania msipoamua sasa, mtamlaumu nani tena? Nawatamani watu wa kule Mara -hakuna kura inaibiwa. Zote zinasimamiwa. Tukibadilika inawezekana, tena ni rahisi. Peleke ujumbe huu kwa marafiki, ndugu, jamaa, babu na bibi yako kule kijiji ambako wanadhani bado Nyerere ndiye rais wa nchi hii. Peleka ujumbe huu haraka kwa simu kama ipo, au kwa njia ya posta, mradi tu wale jamaa waliochoka kuishi wasiikwapue barua wakidhani ni hela..
Tunataka mdahalo kati ya Slaa na Kikwete. Baregu na Kinana ni wapiga debe au propaganda., Samahani
ReplyDeleteI would love to read more analysis on Tanzanian political campaigns such as the 'The Baregu v/s Kiana Debate', among others, in Swahili.
ReplyDeletePongezi sana. Tanzania has come along way and there is a lot to be grateful for.
I was so glad to see the amount of progress Tanzanians have made since the days I worked in Morogoro as a young intern from Texas Tech 1985-86.
The were hardship times but I ahve no regrets because my children, four sons and two daughters ("a real size Tanzanian family in Nova Scotia". lol!) are half-Tanzanian, and one of my priceless gift to them has been making sure that they continue to remain fluent in Swahili, thanks to their mother's guidance and insistence.
As a matter of fact, one of them recomended Michuzi to me.
Unkal, thank you so much for making Michuzi "blogu" available.
Kwaheri.
Mdau (longtime "relative" of Tanzania), Nova Scotia.
Huyu mgombea urais anaetaka kupunguza kodi huku anataka kupandisha mishahara, na kujenga treni ya umeme kwenda mwanza atatimizaje malengo yake? Atapata wapi fedha?
ReplyDeleteUTAFITI wa Taasisi ya Synovate unaonyesha Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia mgombea wake wa nafasi ya urais Jakaya Kikwete, habari zake zinaandikwa zaidi kwenye vyombo vya habari hapa nchini kulinganisha na wagombea wengine wa vyama vya upinzani.
ReplyDeleteAkizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara ya habari (MAELEZO) Meneja Utafiti wa Synovate, Jane Meyela, alisema kuwa utafiti huo uliofanyika kwa kipindi cha miezi mitatu unaonyesha CCM kupata asilimia kubwa katika kampeni zinazoendelea ambapo vyama vingine vinashindwa kung’ara na katika kudumisha demokrasia nchini.
Meyela, alisema katika utafiti huo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinashikilia nafasi ya pili katika vyombo vya habari kuripotiwa kuzidi vingine ambavyo vimeingia katika kuomba ridhaa ya wananchi.
Alisema wamebaini kuwa kwenye magazeti Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepata asilimia 51, vituo vya runinga 59 na redio asilimia 55 kikifuatiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) asilimia 21 na runinga asilimia 19 na redio asilimia 20.
Mayela alisema katika vyombo vya habari ambavyo vimekuwa vikiripoti bila upendeleo habari za CCM, ni Tanzania Daima hasi 1823 na chanya 17,821, Mwananchi hasi 932 chanya 17,167, Nipashe hasi 923 na Chanya13,733, Daily News hasi 88 na chanya 96.
Alisema katika kampeni hizo ambazo zimezidi kushika kasi kuna upendeleo mkubwa kwenye vyombo vya habari jambo ambalo linavifanya habari za vyama vingine kushindwa kupata nafasi.
Meyale, alisema kuwa upendeleo huo unawanyima wananchi kupata sera za vyama vingine jambo ambalo ni hatari kwa ukuaji wa demokrasia ya vyama vingi na ni ukandamizaji wa demokrasia.
Alitoa ushauri kuwa vyombo vya habari vijenge utamaduni wa kutopendelea vyama au kujiingiza katika siasa katika kujenga vyombo vya habari kuwa imara katika kujenga demokrasia.
Alivitaja vyombo ambavyo vimekuwa vinara katika kukipendelea Chama cha Mapinduzi ni magazeti ya Uhuru asilimia 68 na Mzalendo 75.
Kwa vituo vya runinga ITV asilimia 65 ,Tanga TV (79) , Chanel Ten (73) na Star TV (62) kwa kupendelea kurusha kampeni za CCM na Radio Uhuru FM asilimia 87 Sauti ya Zanzibar FM asilimia 75 Sengema FM asilimia 77 Kheri asilimia 76 Mwambao asilimia 67 HITS FM asilimia 87.
Meyela alisema vyombo vya habari kwa upande wa rushwa asilimia 21, uchumi 15, elimu asilimia 12 , kilimo asilimia 7, afya asilimia 6, haki za binadamu asilimia 3 Amani asilimia 28 ajira asilimia 1 na utalii asilimia 1.
Wako wengine wanaoujua ukweli. Bania na hii as usual.
Mpaka sasa CHADEMA hawajaja na hoja za kushawishi wapigakura kuwa wao ni chama mbadala...
ReplyDeleteDr.Slaa hana hoja ya nini atawafanyia watanzania zaidi ya kudanganya kuwa kodi atafuta, shule bure, afya bure nk, vitu hivi duniani kote haviendi sawa, aidha unaongeza kodi ili huduma za jamii ziwe bure, au unapunguza kodi ili kila mtu aweze kulipia!Dr. Slaa anadhani watanzania wamedanganyika hola!
CHADEMA in all fairness will be confined to a third place kwa nini? Kwa sababu kwanza baada ya CCM iliyoweka wagombea 100%, ni CUF ndio yenye wagombea wengi nchini kote, hivyo kwa kampeni zilivyo, the more number of wapiga debe (wagombea) ndio chances zako za kuwa na ushawishi zinavyokuwa, yapo maeneo CHADEMA wameweka mgombea ubunge na hakuna mgombea udiwani hata mmoja! sasa unategemea mbunge huyo aweze kushinda?strange... wakati ambapo CUF mpaka sasa ina uhakika wa viti 23 vya ubunge ie Pemba na Mji Mkongwe na hivyo kuwa tayari na wabunge wa viti maalum takriban 15 therefore making it the official opposition in Parliament CHADEMA can hardly claim confirmed majimbo zaidi ya kwa Zitto na Ndesamburo... no doubt kuwa kura zitaongezeka kwenye baadhi ya maeneo lakini for sure CHADEMA wako destined kushika nafasi ya tatu..
Wakati ambapo kila Kinana anapotoa hoja kumjibu Slaa, CHADEMA tishio lao ni kuwa ''akae kimya tutamlipua'' kama kweli wana ''mabomu'' kwanini wasiyaweke hadharani... tunaojua sheria tunajua namna akina Tundu Lissu and Co wanavyodanganya wananchi kuwa fulani ni fisadi, au fulani ni mla rushwa etc wakati wanajua kuwa wao kama wanasheria wana power ya citizen's arrest, mbona ushahidi huo hawaupeleki mahakamani?
CCM on the other hand, wanaendesha kampeni za kimakakati na za kisayansi zaidi, wagombea wamegawana majimbo, wanakwenda deep down katika vijiji, kwenye real wapiga kura, mjini ambako ndio kuna hubbub of excitement about Slaa majority ni mashabiki bila kuwa na kadi za kura! Angalia mpaka sasa idadi ya mikutano ya Bilal, Kikwete na linganisha na mikutano ya Dr. Slaa kisha utaona kuwa ni wazi kwamba CCM imewafikia wananchi wengi zaidi...manake ni kuwa ujumbe umefika kwa watu wengi zaidi manake ni kuwa Kura zao zitakuwa ni nyingi zaidi...kisha wakishindwa watadai wameibiwa kura..
Kama alivyosema mwandishi wa makala, kuwa CHADEMA wanapodai kura zinaibwa wangekuja na ushahidi dhahiri tuwaamini, kwenye news Al Jazeera tumeona namna malalamiko ya mgombea ubunge Afghanistan alivyokusanya ushahidi wake wa namna kadi za kura zinavyotengenezwa Pakistan na kuuzwa majimboni na hivyo kuwa ni uonevu dhidi yake...
CHADEMA WATULETEE USHAHIDI DHAHIRI vinginevyo Kalagabaho! wasubiri kupigwa bao safi Oktoba 31, kura yangu ndio nguvu yangu, Kikwete kishaipata!
michuzi tutafasirie kwa kiswahili maana alikuwa na dictionary wakati anatuma mada
ReplyDeleteAnkal hii article imekwenda shule kinoma tena naona kama imechelewa. Mwandishi nakufagilia babake si mchezo. Ni makala ya kisomi yenye uchambuzi wa kina tunataka maoni ya kitaalamu kama haya badala ya ngonjera. Huyo mdau anayemtetea Slaa atupe qualifications zake kwanza ili tuone kama ana sound mind au ni ngonjera
ReplyDeleteUkweli huwa unauma.
ReplyDeleteHatuna haja ya kutukanana hapa.
Ni bayana katika uchambuzi wangu kuwa katika mahojiano haya Mwakilishi wa CHADEMA ameshindwa na mwakilishi wa CCM.
Na hii inaweza kuwa reflection hata jinsi Slaa pamoja na advantage ya kuweza kukosoa Serikali ya CCM bado timu yake ya kampeni hawawezi kumuundia mkakati madhubuti na pengine maneno yanayofaa katika majukwaa kuridhisha watu hususani wachambuzi wa mambo ya siasa kama mimi.
Mfano mmoja tu.
Imagine, juzi mtu anasimama katika jukwaa la CHADEMA anasema, "Nilikuwa CCM lakini kilichonifanya nihame ni kuwa mimi ni MLOKOLE NA HIVYO NIMEKUJA KATIKA CHAMA CHA WALOKOLE AMBACHO NI CHADEMA!"
what a hell is such a rhetoric!
Hivi tungo kama hiyo watu wanaweza kuitafsiri vipi? Hivi watanzania zaidi ya milioni 40 wanaweza kujitambulisha na huu utambulisho wa WALOKOLE katika medani za Siasa?
Pamoja na yote hayo, hata mimi naunga mkono kuwa hakukuwa na haja ya kukataa kuhudhuria mdaharo.
Kwanza kwa jinsi ninavyoona trend ya kampeni na yanayohutubiwa nimeshangaa sana. Watu wasomi lakini hata hawawezi kushusha data na kutoa hoja zilizokwenda shule!
Basi kwa kupitia blogu hii NAWASHAWISHI AKINA KINANA WAKUBALI MDAHALO TU NA UTAONA SIKU HIYO; MMOJA ATAKUWA ANALIPUKA NA JAZIBA NA AHADI ZISIZOTEKELEZEKA WAKATI MWENZAKE ANAKATA ISSUES NA SERA ZINAZOTEKELEZEKA NA HILO NDO LITAKUWA KABULI LA WAZI HATA KABLA YA UCHAGUZI.
Hitimisho.
Si kila Prof. au aliyepanda hadi darini, anaweza kumudu majukwaa ya siasa.
Katika kampeni hizi mimi mwenzenu kila ninapomuona mgombea wa CHADEMA na akina Marando naona wanaongea kama wamepagawa hivi na wamejaa munkari. Kadiri siku zinavyoenda huenda wakapata mental break down. Maneno yao ni makali. Nawapa tahadhari kuwa wanapoona watu wengi wanawasikia wanaweza kufikiri kuwa watu hao wanakubaliana na hayo wanayoyasema kumbe ndani ya nyoyo zao watu hawafurahishwi hata kidogo. Maana ndani ya kauli hizo kuna maneno yanayotuudhi sisi tunaowasikia.
ReplyDeleteNataka mjue kuwa even the best argument has no solid foundation. Mnaweza mkaongea sana mkataja takwimu au hata kunukuu mistari ya biblia au vitabu vitakatifu unafikiri how many people can be persuaded by bags of air like that? Mnasahau kuwa action and demonstration are much more powerful and meaningful. Ninapoona shule za sekondari za kata, zahanati kadhaa zilizojengwa, mabarabara ya lami yanayojengwa sehemu mbalimbali za nchi, mabilioni ya JK na kadhalika hayo ndiyo action and demonstration. Can they argue with a demonstrated proof? “The truth is generally seen, rarely heard” (Baltasar Gracian). Ninachokiona kwa JK ni kuwa he has given results. Na kwa sababu hii anastahili ushindi 2010.
Kwa nini Mdahalo wa Kikwete na Slaa tu? Wapi Lipumba,
ReplyDeleteHashim Rungwe na Mutamwega Mutahywa? Kama CHADEMA mnawadharau hao, kwa nini CCM isiwadharau nyie? Mdadau haki wakati wenyewe mnatenda dhuluma?
Kwanza Vijana Fm acknowledge kuwa mjadala huu uliendeshwa na BBCswahili service.
ReplyDeletePili tunataka mjadala/mdahalo mama yaani 'the mother of all debates' utakao waleta jukwaani wagombea wote wa nafasi ya Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pamoja na CCM 'kumzuia' mgombea wao Mh. Raisi Jakaya Mrisho Kikwete kushiriki ktk midahalo, lakini kwa ajili ya demokrasia pana na haki ya wapiga kura kuwasikia wagombea wa nafasi ya Uraisi wakifanya mdahalo ktk TV+Radio kuelezea visheni zao kichama.
Tunategemea kuwaona Mh.Dkt. Slaa, Mh. Prof. Lipumba, Mh.Raisi Kikwete na wagombea wengine wote wa nafasi ya Uraisi kwa kupitia vyama vyote wakiwa jukwaani ktk Mdahalo Mama kutuelezea mustakabali wa nchi hii kwa sauti zao wenyewe 'live'.
Mdau
MpigaKura
Kwanza asante sana kwa kuchukua muda wako na kutuandikia mtizamo na maoni yako, safi sana tuwajibike kwa Taifa letu
ReplyDeletePili katika hizo hizo takwimu ambazo Ndugu umetilia sana mkazo, mimi najiuliza tu kuwa umefikiria kuwa ni Watanzania wangapi wanajua lugha ya kiingereza ili kuweza kusoma, kubaini na kutafakari kutoka kwenye huu ujumbe wako?
Ukipata jibu basi nafikiri utanielewa na mtaacha kasumba mgando za kujitapanya kwa lugha maridhawa wakati mnaowalenga mnawajua,
Nawasilisha
Nyie watu wa Chadema, Police wote wanaolala kwenye mabanda ya bati. Wako police wengi ambao wako vema. Na si kweli kwamba watoto wote wanalazimishwa kulipa ada hata kama hawawezi.
ReplyDeleteSlaa nimwonavyo mimi, ni kama mtoa mada alivyosema. Ahadi zake za ndani ya siku 100 nina wasi wasi. Nina wasi wasi sana kama kweli anaweza hivyo vitu ambavyo kwa mahesabu ya haraka haraka hata miaka kumi ijayo haiwezekani.
Tatizo lingine sisi watanzania hatuangalii hali halisi ya dunia. Tutanaangalia mambo ya bongo tu. Ndiyo maana hata kupangilia mjadala inakuwa ngumu kwa kuwa mtu ana mfano wa Tanzania tu na hajui kinachoendelea Rwanda au Kenya. Bila shaka tukiweza hili basi ndiyo muda tunaweza sema tuko tayari.
....kaka humu (blog)kuna vichwa vinaingia vya maana tu, usishughulishe watu bure kwa hoja za upande mmoja na ushabiki! hivi umawahi kuwauliza CCM kwa nini hawaachi kununua magari ya bei mbaya? yale walishapewa takwimu na kiasi cha pesa kinachotumika kuyamaintain. Walichukua hatua gani. Takwimu to them is nothing only if save the purpose! pata hiyo
ReplyDeleteGULUGUJA!
Polisi analipwa laki moja wakati huyu ndiye mtu ambaye anatakiwa:
ReplyDelete1) Kusimamia ulipaji kodi ili nchi iongeze kipato, huduma kwa jamii na hatimae hali ya maisha kwa raia
2) Haki na usalama wa raia ili awe kwenye good state of mind ili aweze kuwa productive kwa Taifa
3) Kusimamia sheria ili raia nchini wawe na descipline
Matokeo yake kila raia anahangaika anayojua yeye...
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Vijana (UVCCM) taifa, Martin Shigela, amekibeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kile alichodai kinatumia ofisi zilizo kwenye kibaraza cha nyumba wakati kinapata ruzuku.
ReplyDeleteShigela alisema hayo katika mkutano wa kampeni wa kuwanadi wagombea udiwani wa Kata ya Sirari, Amos Sagara na wa Kata ya Nyamaraga, Antony Manga.
Pia alikuwa akimnadi mbombea wa ubunge wa jimbo la Tarime, Nyambari Nyangwina na kumwombea kura mgombea urais, Jakaya Kikwete. Mkutano huo ulihudhuriwa na mamia ya wakazi wa kata hizo.
Wanachama 53 kutoka vyama vya upinzani vya Chadema, NCCR Mageuzi na CUF walihamia CCM.
Shigela alisema kuwa wapinzani hawana Sera zaidi ya kila anayepanda JukwaanI kuzungumzia ufisadi huku ndani ya vyama vyao vinaongoza, kwa vitendo hivyo.
Kwa mujibu wa kiongozi huyo wa UVCCM, Chadema mwaka jana 2009 kilipata ruzuku ya Sh milioni 818 na mwaka huu kimepata Sh milioni 750 lakini kinashindwa kujijengea ofisi yake.
“Kinashindwa hata kujenga vyumba viwili wilayani kinabaki kinahama kila siku , je kwenye kata watajenga lini, wanakutana nje ya baraza za nyumba za watu.
Je, huo sio ufisadi ? Unapata fedha unazitumia kukodisha helikopta kwa gharama kubwa huku wanachama wako wakiswampa, hawaoni hiyo ni hujuma,” alihoji.
Aliendelea kusema, “kwa wanachama wake wawaonyeshe hata darasa moja ama chumba cha zahanati walichojenga ili iwe mfano kwa miaka mitano mliowapa kura.”