Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi,Dk. Mohamed Gharib Bilal, akifurahia vazi la asili ya kabila la Wangoni na silaha ya Kinjenje, baada ya kukabidhiwa na wazee wa kabila hilo, Aidan Mbano (kushoto) na Joachim Silo, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Bombambili mjini Songea jana.
Mgombea Mwenza wa Urais,Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimnadi Mgombea wa ubunge wa jimbo la Songea mjini,Dr. Emmanuel Nchimbi, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Bombambili mjini Songea

BOFYA HAPA
kwa picha zaidi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kaka Michuzi.
    Samahani kidogo, Huyu ni John Nchimbi au Dr. Emmanuel Nchimbi? unatuchangaya hapo kaka!!

    ReplyDelete
  2. Mgombea wa Songea mjini nadhani anaitwa Emmanuel Nchimbi na sio John. Labda kama ana jina jingine.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...