Mgombea Mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM,Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Kibaigwa Wilaya ya Kongwa eneo la Soko la Mahindi wakati wa mkutano wa kampeni ulioanza leo kwa mgombea huyo baada ya mapumziko ya sikukuu ya Eid.Mgombea Mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM,Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipokelewa na wanachama na wasanii wa ngoma za asili za Kabila la Wagogo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mkoani Dodoma leo kwa ajili ya kuanza ziara yake ya mikutano ya Kampeni baada ya mapumziko ya sikukuu ya Eid El Fitr, ambapo leo ameanza ziara hiyo katika Kanda ya Kati.
Wananchi wa Kongwa wakimsikiliza Mgombea Mwenza katika eneo la Soko la Mahindi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...