Gari aina ya Toyota Noah,ikiwa katika hali nzuri kabisa.
kwa mawasiliano zaidi namba hiyoo
0654 317 287

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hii siyo michanga mbona gari ipo auction japan hapa

    ReplyDelete
  2. MBONA HIZI PICHA NI ZILE ZA AUCTIONS JAPAN????????? HII GARI INAWEZA IKAWA KWELI IPO ILA SI YA MUONEKANO HUU, JIHADHARI NDUGU MTEJA MTARAJIWA. OMBA PICHA HALISI KWA ANAETAKA AU KULIONA KABISA! USHAURI TU.

    "VICTIM"

    ReplyDelete
  3. Ni bei gani hiyo na iko wapi?

    ReplyDelete
  4. Ipeleke Mbuguni huko(Arusha)wanazihitaji sana hizo,ndio daladala kule.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...