Home
Unlabelled
jengo lilivyoteketea kwa moto huko manzese
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inavyoonekana hapa jengo linawndelea kuungua, lakini fire engine haionekani kuwa inazima moto, tuambie mdau uliyetuma picha moto ulikuwa unazimwa na hilo zima moto?
ReplyDeleteUlaya watu wanakimbia kukaa mbali na moto, huku tz watu wanausogelea. Je jengo likiwaangukia watamlaumu nani!
ReplyDeleteJamani watanzania tunahatari sana, sehemu ya hatari watu ndo wanakimbilia! hebu angalia watu wamepanda juu ya bati la nyumba karibu na eneo la moto na hawatoi msaada wowote, je ukitokea mlipuko na moto usambae kote itakuaje, angalia jinsi watu walivyorundikana lolote likitokea watakimbilia wapi? Hali hii ni inatisha sana kama kuna gas hapo ikilipuka itaua na kujeruhi watu wengi sana.
ReplyDeletePisheni zima moto wafanye kazi yao japo ninaona ni gari moja tu la zima moto na hakuna linaloendelea jengo linateketea!
Bongo kweli tambarare!
Mdau wa Damu USA
Ultimate security ndio wana tenda ya kuzima moto DSM? maana kila tukio sioni kikosi cha Fire brigade cha jiji, je uzimaji moto na uokoaji umebinafsishwa?
ReplyDeleteMdau
Ughaibuni.
naona kuwe na kipindi kwenye radio na tv kuwaeleza wananchi wasisogee kwenye eneo kama hilo maana ni hatari na wanazuia magari ya kutoa msaada kupita, kuna moto ulitokea miaka ya nyuma watu wakanyan,gaya bomba la maji la zima moto wakaanza wao kulitumia kuzima moto ilikuwa patashika sasa kunyanganyana na wanazima moto, mkuu wa blog peleka ujumbe kwa wahusika watangazzie wananchi kwa tv na redio
ReplyDeleteBado sanajamani yaani hata mtu unashindwa uanzie wapi ku komenti
ReplyDeletekwakuwa sikuhizi kuna kila aina ya kuweza kuwa elimisha watanzania, nadhani kungetumika huo utaratibu wa kuwa elimisha juu ya kukimbilia sehemu a hatari.. lakini swala ni je Police walikuwa wapi ?
ReplyDeleteWatanzania ni watu wa ajabu sana, hivi hawajui kuwa moto ni kitu hatari sana?
ReplyDeletenawahakikishia tanzania kuwa kama ulaya inawezekana kabisa ila hata akija slaa bila ya watu kuwa na mwamko huko kichwani , tutabaki vile vile. TUBADILIKE JAMANI, HATA AJE YESU AU MTUME MUHAMAD ACHILIA MBALI SLAA, TUTABAKI HIVI HIVI, uncle usiibanie hii
ReplyDeletejamani hiyo ni hatari kimbieni sio mnaachia midomo wazi
ReplyDeleteHilo neno, watanzania tumebweteka, KABLA YA KUILAUMU SERIKALI JIULIZE WEWE UMEIFANYIA NINI HII NCHI KUANZIA NGAZI YA FAMILIA YAKO?
ReplyDeletehakuna statement kama hiyo umeifanyia nini nchi inayoniboa..Nafanya kazi, familia yangu inafanya kazi wote tunachangia tax but maendeleo hayaonekani,,(Ulitaka niwanunulie gari za kuzimia moto?? @ mdau aliyetoa hii statement.) I have the right to question, uongozi wa nchi unatumiaji tax zinazolipwa na jasho la watanzania..
ReplyDeleteAnyways, fikiri kabla ya ku comment!!
Abt this video, inasikitisha sana. Nadhani FFU- wawe wanatumika kwenye shughuli kama hizi watu wasisogee kwenye hatari..
Nimefuraishwa angalau gari la huduma ya kwanza lipo.. Huku marekani utaona magari ya polisi si chini ya matano, ambulance kibao na magari ya zima moto.