Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Inavyoonekana hapa jengo linawndelea kuungua, lakini fire engine haionekani kuwa inazima moto, tuambie mdau uliyetuma picha moto ulikuwa unazimwa na hilo zima moto?

    ReplyDelete
  2. Ulaya watu wanakimbia kukaa mbali na moto, huku tz watu wanausogelea. Je jengo likiwaangukia watamlaumu nani!

    ReplyDelete
  3. Jamani watanzania tunahatari sana, sehemu ya hatari watu ndo wanakimbilia! hebu angalia watu wamepanda juu ya bati la nyumba karibu na eneo la moto na hawatoi msaada wowote, je ukitokea mlipuko na moto usambae kote itakuaje, angalia jinsi watu walivyorundikana lolote likitokea watakimbilia wapi? Hali hii ni inatisha sana kama kuna gas hapo ikilipuka itaua na kujeruhi watu wengi sana.
    Pisheni zima moto wafanye kazi yao japo ninaona ni gari moja tu la zima moto na hakuna linaloendelea jengo linateketea!
    Bongo kweli tambarare!
    Mdau wa Damu USA

    ReplyDelete
  4. Ultimate security ndio wana tenda ya kuzima moto DSM? maana kila tukio sioni kikosi cha Fire brigade cha jiji, je uzimaji moto na uokoaji umebinafsishwa?
    Mdau
    Ughaibuni.

    ReplyDelete
  5. naona kuwe na kipindi kwenye radio na tv kuwaeleza wananchi wasisogee kwenye eneo kama hilo maana ni hatari na wanazuia magari ya kutoa msaada kupita, kuna moto ulitokea miaka ya nyuma watu wakanyan,gaya bomba la maji la zima moto wakaanza wao kulitumia kuzima moto ilikuwa patashika sasa kunyanganyana na wanazima moto, mkuu wa blog peleka ujumbe kwa wahusika watangazzie wananchi kwa tv na redio

    ReplyDelete
  6. Bado sanajamani yaani hata mtu unashindwa uanzie wapi ku komenti

    ReplyDelete
  7. kwakuwa sikuhizi kuna kila aina ya kuweza kuwa elimisha watanzania, nadhani kungetumika huo utaratibu wa kuwa elimisha juu ya kukimbilia sehemu a hatari.. lakini swala ni je Police walikuwa wapi ?

    ReplyDelete
  8. Watanzania ni watu wa ajabu sana, hivi hawajui kuwa moto ni kitu hatari sana?

    ReplyDelete
  9. nawahakikishia tanzania kuwa kama ulaya inawezekana kabisa ila hata akija slaa bila ya watu kuwa na mwamko huko kichwani , tutabaki vile vile. TUBADILIKE JAMANI, HATA AJE YESU AU MTUME MUHAMAD ACHILIA MBALI SLAA, TUTABAKI HIVI HIVI, uncle usiibanie hii

    ReplyDelete
  10. jamani hiyo ni hatari kimbieni sio mnaachia midomo wazi

    ReplyDelete
  11. Hilo neno, watanzania tumebweteka, KABLA YA KUILAUMU SERIKALI JIULIZE WEWE UMEIFANYIA NINI HII NCHI KUANZIA NGAZI YA FAMILIA YAKO?

    ReplyDelete
  12. hakuna statement kama hiyo umeifanyia nini nchi inayoniboa..Nafanya kazi, familia yangu inafanya kazi wote tunachangia tax but maendeleo hayaonekani,,(Ulitaka niwanunulie gari za kuzimia moto?? @ mdau aliyetoa hii statement.) I have the right to question, uongozi wa nchi unatumiaji tax zinazolipwa na jasho la watanzania..
    Anyways, fikiri kabla ya ku comment!!

    Abt this video, inasikitisha sana. Nadhani FFU- wawe wanatumika kwenye shughuli kama hizi watu wasisogee kwenye hatari..
    Nimefuraishwa angalau gari la huduma ya kwanza lipo.. Huku marekani utaona magari ya polisi si chini ya matano, ambulance kibao na magari ya zima moto.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...