mkutano wa kampeni uwanja wa Mashujaa mjini Moshi leo
Home
Unlabelled
JK aiteka Moshi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hakuna ubishi moshi mjini inarudi ccm,hilo jimbo ndesamburo alikuwa anallipata kutokana na makundi ya ccm wenyewe,moshi mjini asilimia 80 madiwani ni ccm,majimbo ya moshi,karatu na tarime ni uhakika 100percent yanarudi ccm,chadema now jimbo la zito peke yake ndo wanauhakika,hata tarime cuf wamekuwa wengi kuliko chadema,wapinzanni tamaa ndo inawaponza,ccm bado inam uda mrefu kutawala nchi hii,maana hakuna upinzani wa kweli,huwezi mpinzani kupewa hela na ccm za kampeni alafu useme democracy,hajinga ndo waliwao.
ReplyDeleteHivi kwanini wabongo wanaita vyama vingine vya kisiasa vyama vya upinzani? Mimi sielewi hiyo maana kwani vina a mpinga nani? Ni vyama vya kisiasa hamna anayempinga mtu hapa...Nyie ndio manawafanya watu wasio na elimu kufikiri ukiwa kwenye chama kingine basi wewe ni mpinzania sijui wa serikali au nini???na mtawafanya watu waogope na kufikiri ukijiunga na chama kingine ni unaipinga serikali
ReplyDeleteGet the facts right
Sawakabisa mdau,nadhani hii lugha imekuzwa makusudi na chama cha UPINZANI cha CCM.
ReplyDeleteUMATI WA WATU SIO KURA. WATANZANIA WENGI HAWANA KAZI ZA KUFANYA HIVYO WAKISIKIA KUNA MTU MAARUFU ANAKUJA KWENYE ENEO LAO WANAJITOKEZA KWA WENGI TU KWENDA KUSHANGAA.
ReplyDeleteKWA MFANO ALIPOKUJA PAPA JOHN PAUL HAPO MOSHI WATU WENGI WALIJITOKEZA KWENDA KUMUANGALIA, LAKINI WENGI WAO HAWAKUWA WAKATOLIKI NA WALA HAKUBADILI IMANI YAO KWENDA KATOLIKI BAADA YA PAPA KUONDOKA.
MATOKEA YA UCHAGUZI SUBIRINI HADI OCTOBA 31. FULL STOP.
VERY GOOD COMMENT annon wa pili hapo juu....Kuita vyama vingine kwamba ni vya upinzani kunawakwaza watu!
ReplyDeleteMoshi jana funika lakini ukabila wa kichaga ndo tatizo hoo salakana mrombo... so what kwani huyo ndesa si mu´old moshi tatizo liko wapi hapa tunataka kubadili hii mboga ya chadema tule ccm au nk
ReplyDeleteJAMANI JAMANI JK YEYE KAMA YEYE HAITAJI HATA HAYO MATOTI KUMPIGIA KAMPENI KWANI YEYE MWEMNYEWE NI KAMPENI TOSHAA.BG UP JK...
ReplyDeleteSIJUI NI KUISHI NJE AU? MBONA VIJUMBA VIMECHOKA HIVYO?? NA WANANCHI BADO WANARITHIKA NA HALI HIYO? MAANA TUSISEME TUU OOH JK KAITEKA MOSHI ALAFU TUNAONYESHWA WATU WAMECHOKA, MABATI KUTU!! MMH JAMANI KWELI NDIO LIFE MNAYOTAKA AU NI KUFWATA MKUMBO??
ReplyDelete