JK akiwahutubia wakazi wa Kilosa mkoani Morogoro jana mchana katika mkutano wa kampeeni ya chama hicho, uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika oktoba 31 mwaka huu nchini kote kwa ajili ya Rais, Wabubge na Madiwani.
Home
Unlabelled
JK alipokuwa kilosa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Nyomi la ukweli kama viesta vileeee
ReplyDeleteMungu mbariki Mh. JK. Tunakufanyia kampeni na tutakupigia kura. Onemo M.
ReplyDeleteAnkal, niliwahi kusikitika na pia naendelea kusikitika, kwa upendeleo wako wa dhahiri kwa CCM. Kama wewe nimpenzi wa CCM basi usioneshe ushabiki kwenye chombo hiki ambacho tunakiheshimu.Uliwahi kujitetea kwamba watu wanatakiwa kutuma picha zao ili ziwekewe kwenye blog lakini sikubaliani na hilo.Umeonekana kwenye msafara wa ccm na halina ubishi,,hivyo nakuomba kwa sababu kampeni za uchaguzi ni za muda tu basi usifanye chombo hiki(blog) kijijengee maadui kwa upendeleo wa dhahiri unaouonyesha.
ReplyDeleteThis is about people's life and not mere ushabiki. Watanzania zaidi ya 80% ni masikini wakutupwa still we cannot see this, ila tunafanya ushabiki tuuu kama simba na yanga. naomba ubadilike uweke pia picha za wapinzani at least hata SAU basi. Please post this wadau wachangie if am wrong.
Regards, Makirikiri
Nilijaribu kukutetea kwenye Jamii Forum... kuwa wewe ni mfanyakazi wa Serikali na sasa hivi serikali ni ya CCM; lazima utuze ajira yako nani atakusaidia ukiwa mitaani? Lakni U CCM wako umekuwa beyond repair... Sijui kama kuna utetezi; lada unataka Ukuu wa Wilaya
ReplyDeletembogo USA
Mdau Makirikiri.....haujakosea hata kidogo! yani tungekuwa na watu kama wewe zaidi nadhani siasa yetu ingekuwa mabali. watu wanashabikia CCM je hawaelewi hali ya nchi ilivyo?? au wemesahau wakati wa uchanguzi? yani chukua mfano moja tu kama huu .....miaka 50 imepita na serakali imeshindwa kuwapatia asilimia 14 ya wananchi wa tanzania umeme kwa masaa 24 kwa siku, kwa mwaka moja. hiyo ni statistic moja tu....list ni ndefu sana. Na hayo ni maendeleo jamani....
ReplyDeletendiyo nimeona maondeleo sekta zingine , na nitawapa hongera CCM on those sectors lakini kama ni effort kutuweka katika maisha bora basi wamepata aslimia 5 tuu kutoka kwangu. nchi kama korea ilikua katika hali ya uchumi sawa sawa na sisi wakati tunapewa uhuru. unakuaje wenyewe wako mbele zaidi yetu katika kila sector leo? au korea iko dunia nyingine na tanzania? natutazidi kusema tu CCM oyeee kwasababu hatujui tunacho stahili kapata kutoka kwa serekali. mlala hoi akipewa ahadi (tena wakati wa uchaguzi) ya mshahara kupandishwa basi atapiga kura CCM miaka yake yote.
Mi nadhani somo la siasa liwekwe ndani ya syllabus ya tanznia watu wajifunze mambo kutoka primary ....labda wakiwa wakubwa wataweza kutumia kura zao vizuri zaidi! usibani basi michuzi
mdau wa arusha njiro
kwa mtazamo wangu ankal ana haki ya kuungana na msafara wa chama chochoote kwa sababu hio ni fani yake
ReplyDeletewaandishi wamegawanywa, sasa na yeye anafanya kazi ktk gazeti la serikali, jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, leteni picha zenu tuone kama anazibania
tusianye siasa za chuki
Ndugu yangu Makirikiri,
ReplyDeleteHapa unatwanga maji kwenye kinu. Kura unayoweza kupiga kutokukubaliana na hii blog ni kutoingia kwenye blog, mwenyewe akiona trafiki inapungua atajua cha kufanya. Waingereza wanasema "you vote with your feet".
Kama unaweza anzisha na wewe Blogi ya Kijamii".
Sasa na wewe unayelalamika eti Michuzi alionekana kwenye kampeni ya CCM, ninachoweza kukwambia tu ni GROW UP, acha mambo ya KITOTO, ushakuwa mtu mzima unayetegemewa na familia sasa.
ReplyDeleteNadhani umenipata nataka kusema nini.
Mdau wa Mon Sep 06, 06:38:00 PM mi mimekuelewa vizuri sana ,kwamaba Michuzi ni mfanyakazi wa serikalini kwenye magazeti ya Habari leo,Daily news na Sunday news. Hawa waajiri wake wanapishana kidogo na wale wa uhuru na Mzalendo (kidogo sana) ndio maana unaona habari zake zinaegemea wapi zaidi. Cha msingi ningemshauri uchaguzi ujao ujiweke nje kabia kwamba hutotangaza habari za kampeni ili kuleta usawa
ReplyDelete