


kwa picha zaidi
BOFYA HAPA
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi plz rekebisha maelezo ya picha mfano JK akimnadi mgombea Mwakwembe = Mwakyembe (2) JK akisimikwa Uchimu =Uchifu. mjomba vipi au swaumu imekushika vilivyo?
ReplyDeletemdau Paka la Jikoni UK.
Michu inaonyesha uraia wako na wewe una utata maana kiswahili kimeenda kushoto. inaonyesha wewe ni mzambia itabidi tumuone Lawrence Masha athibitishe Uraia wako.
ReplyDeleteHongera mdau hapo juu kwa uchunguzi na maoni yako!! Pia mjomba rekebisha hilo neno "Anguma" sijui kama ulikuwa ukimaanisha "Aunguruma" kama ni neno jipya tunaomba maana yake. Mdau wa Kiloleli-Mwanza
ReplyDeleteAmesharekebisha jamani huyu ni raia wa Tanzania,msimshtaki kwa Makamba na Masha
ReplyDeleteDAH!!!!
ReplyDeleteKWA MTAJI HUU SISI WAPINZANI KAMA HATUNA CHETU VILE.MAANA VIONGOZI WETU HAWAZUNGUKI SANA VIJIJINI UPINZANI UNABAKI MJINI TU. MASIKINI LI-PUMBA NA SILAHA.
Kwa kwa kwa kwa kwa kwa, wadau mmepinda!
ReplyDeleteAsalaam aleika!
ReplyDeleteAnkal, ili jambo la baadhi ya wagombea waliopita na hawatohitaji sanduku la kura naona halijakaa vema,kumthibitisha mgombea apite bila kupingwa haileti demokrasia ya kweli, mbona JK alikuwa mwenyewe kwenye kinyang'anyiro cha urais ccm lkn alipigiwa kura??linaleta harufu ya rushwa,coz kuna tetesi wagombea wengi wa upinzani uko mikoani ni njaa kwenda mbele,kwahiyo ni rahisi kununuliwa. Ningependa tume ya uchaguzi ipitie upya sheria hii, wananchi wapewe nafasi ya kupiga kura ili tujue wangapi wanaunga mkono au la.
Picha ya mwisho depicts a creative photographer....hongera kaka michuzi
ReplyDeletekale kasebe kake! katamu kweli ! che! che!
ReplyDeleteheti Akima mama wote tumchague!
kiitikio: Jakaya kikwete
Akibaba wote tumchague!
Jakaya Kikwete
Vijana na wazee tumchague
Jakaya Kikwete
Tanzania! Kikwete! Tumchague! KIkwete
Wimbo mtamu kweli
Hongera CCM , hongera JK, hongera wabunge wa Mkoa wa Mbeya.Bila ya umoja wa hawa wabunge wa CCM Mbeya ingepata matatizo katika uchaguzi huu.
ReplyDeleteUmoja wa wananchi na wabunge wa CCM wanaibeba kwa sana CCM mkoani Mbeya, wananchi tupo nyuma yenu kuwashinda wapinzani ambao hawaoni ndani.
hiyo picha ya mwisho ,mbona watoto watupu au ni UPARENI ..hapo nasikia kuna hadithi ..baba wa taifa alikosa kura UPARENI ..alifanya mkutano wa kampeni kwakuwa wapare wana maumbo madogo alifikiri ni watoto watupu wamekuja mkutanoni..akawaambia.."NYIE WATOTO HAMRUHUSIWI HAPA NENDENI MKAWAITE WAZAZI WENU...watani zangu wapare wakaja juu ,..Atheee huyu mtheeee anatutukana ..
ReplyDeleteSiasa iko complicated manake samtaim inabidi ushikane mikono na maadui wakubwa wa maswahiba zako.
ReplyDelete(US Blogger)
SIO WOTE LAKINI WANAKUJA KWA NIA YA KUKIPENDA CHAMA CHA CCM WENGINE WANAKUJA KUMUONA JK SIUNAJUA MIKOANI KUMUONA RAIS NI BOMBA LA UJIKO NA HATUA KUBWA KWA HIYO UMATI USIKUOGOPESHE EHEHEHH
ReplyDelete