Katibu wa chama cha Soka mkoa wa Iringa Eliud Mvella ( wa kwanza kulia) akiwa katika mazungumzo na aliyekuwa katibu mkuu wa shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Frederick Mwakalebela (mwenye suti nyeusi) leo mara baada ya kesi yake ya tuhuma dhidi ya Rushwa wakati wa mchakato wa kura za maoni ndani ya CCM jimbo la Iringa mjini kusogezwa mbele hadi Octoba 18 mwaka huu ,kulia kwa Mwakalebela ni mke wa Mwakalebela Bi.Celina ambaye pia ni mtuhumiwa wa rushwa.Picha na Francis Godwin.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...