Kikwangua anga pekee cha Biashara mkoani Kagera chenye hadhi ya kimataifa kinachotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni. Jengo hili liko ndani ya manispaa ya Bukoba na linamilikiwa na mfanyabiashara maarufu ambaye pia ni msanifu wa majengo mhandisi Salvatory Lwabizi. Jengo hili litakuwa na huduma za maduka, maofisi, hoteli pia lina kumbi mbalimbali za mikutano
Picha na Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii, Bukoba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ebu sasa acheni matani yenu!!

    mdau paris

    ReplyDelete
  2. hawa jamaa wako juu ila bado hawajataka kuwekeza kwao

    ReplyDelete
  3. Kwa mjengo huo bukoba imeaza kuwa katika ramani ya dunia. Vipi na huo mnara wa kanisa katoliki hapo nao hauna hadhi ya kuwa kwenye blog hii?????

    ReplyDelete
  4. kweli nimeamini ule usemi!!!!!! yani kajumba kamoja mmeshaanza kelele...

    ReplyDelete
  5. HAhahahahah! Bora wewe umesema, eti kikwangua anga!

    ReplyDelete
  6. dah! wahaya bwana yani yale magorofa dar au arusha yangekua pale cjui ingekuaje. Kuna gorofa moja tu la nssf ambalo ndo zuri na jengo pekee lenye lift. Ule mnara wa pale kanisani upo vile vile. Bukobaaaaa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...