
Kikwangua anga pekee cha Biashara mkoani Kagera chenye hadhi ya kimataifa kinachotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni. Jengo hili liko ndani ya manispaa ya Bukoba na linamilikiwa na mfanyabiashara maarufu ambaye pia ni msanifu wa majengo mhandisi Salvatory Lwabizi. Jengo hili litakuwa na huduma za maduka, maofisi, hoteli pia lina kumbi mbalimbali za mikutano
Picha na Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii, Bukoba
ebu sasa acheni matani yenu!!
ReplyDeletemdau paris
hawa jamaa wako juu ila bado hawajataka kuwekeza kwao
ReplyDeleteKwa mjengo huo bukoba imeaza kuwa katika ramani ya dunia. Vipi na huo mnara wa kanisa katoliki hapo nao hauna hadhi ya kuwa kwenye blog hii?????
ReplyDeletekweli nimeamini ule usemi!!!!!! yani kajumba kamoja mmeshaanza kelele...
ReplyDeleteHAhahahahah! Bora wewe umesema, eti kikwangua anga!
ReplyDeletedah! wahaya bwana yani yale magorofa dar au arusha yangekua pale cjui ingekuaje. Kuna gorofa moja tu la nssf ambalo ndo zuri na jengo pekee lenye lift. Ule mnara wa pale kanisani upo vile vile. Bukobaaaaa!
ReplyDelete