Baadhi ya Warembo watakaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010,ambao pia usiku wa kuamkia leo walikua katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Balozi wa Redd's 2o1o katika fukwe za Mbalamwezi Beach Mikocheni jijini Dar,Wageni waalikwa mbalimbali walihudhulia tukio hilo.

kwa picha zaidi
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Maskini dada zangu!! Hivi mtaendelea kutumika kama 'property" hadi lini?? Hayo maumbo na maungo yenu mazuri ni kwa ajili ya kuburudushana vyumbani na sio kuuzia vinywaji au vitu vingine.

    Kama mnataka kuweza kisawasawa kataeni kutumika kama vyombo, huu ni udhalilishaji.

    Mmmoja mmoja anayejisikia vizuri kuchojoa mbele ya kadamnasi (kama mwanamziki mmoja huko duniani) ruksa. lakini sio kujianika bila ridhaa yenu.

    Na sehemu nyingine za mwili ni vizuri zikabaki kwenye uficho, kuonekana tu kwa mmoja mmoja unayemruhusu kufika hizo sehemu za mwili.

    Kumbe dini fulani hazikukosea kuweka sheria kali!!

    ReplyDelete
  2. Couldn't you wait for Ramadhan to end you Kaafirs?

    ReplyDelete
  3. 'Salaa' 'Leyku'

    ReplyDelete
  4. duh mamiss wa mwaka huu wana miguuu mapedeje roho zinawatoka na hivi walivovalishwa lingerie? yani ......

    ReplyDelete
  5. Miguu jamani! Da! Niko hoi kabisa; yaani kwishne

    ReplyDelete
  6. Kama wameamua kutumika kama ambavyo baadhi wanasema hapa, ni wao. Kuna tofauti gani kati ya hilo na wanaume wanaotumika kutangaza pombe au sigara? Kama hupendi kinachofanywa hapa kumtafuta Miss Redds, USIANGALIE HIZO PICHA ZAO. Bila shaka sirini umependa hiyo miguu na mapaja, lakini hadharani unajifanya mkali. Typical African. Kujifanya wakali kukemea hili na lile wakati ndio wa kwanza kuwa na nyumba ndogo, na kulala na wanafunzi wa kike. Jiulizeni swali hili? Kwa nini magonjwa ya zinaa ni mengi zaidi Afrika kuliko sehemu nyingine duniani pamoja na ukali wote? Kujidai mna maadili na heshima wakati ni wanafiki na wazinzi wakubwa nyie.

    ReplyDelete
  7. UMODO NDO AJIRA PEKEE KWA WALIOSHINDWA SHULE BONGO !! WAKALE WAPI ?

    ReplyDelete
  8. Nakubaliana na Anon wa Sat Sep 04, 09:46:00 PM. Wengi wanajidai kupinga lakini hawako wazi: wanatamani na wanafanya. Vile vile tuko kwenye utandawazi kazi si ofisini tu. Modelling, fashion na advertising ni KAZI na inakuja juu bongo. Cha maana tu ni kwamba kina dada wanaoingia kwenye fani hiyo WAJIHESHIMU. Kushiriki kwenye shoo si kwamba mtu hana maadili. Kuna watu wako maofisini na kazi zao za maana tu lakini machangu kichizi, kisiri siri. Na ndio mana huko huko kwenye maofisi ya hadhi kila siku WAMAWAKE KWA WAMAUME wanazikwa kwa UKIMWI!! Ulaya na US amapo mambo haya yako wazi rate ya UKIMWI iko chini. Hiki ni kielelezo cha unafiki wetu...

    ReplyDelete
  9. Hivi karibuni blog hii ilichapisha picha za dada na kaka zetu waliokuwa katika hafla fulani. Kina dada walikuwa wamevaa nguo za heshima kabisa. Cha ajabu comments nyingi ziliwatukana kina dada hao kwa kuvaa mavazi ya heshima. Swali langu ni simple kabisa: mbona hao watukanaji wamenyamaza wakiona wasichana wa kitanzania wakianika mapaja yao hadharani? Au huu ndio "utamaduni" wa Mtanzania? Tuacheni double standards.

    ReplyDelete
  10. Poleni dada zangu kwa kudhalilishwa. J. Bosco. M. Chang'ombe.

    ReplyDelete
  11. DAH WATOTO WAZURI,....MIILI INANYAMA YA WASTANI...I LOVE U BABIES....MNAOJIFANYA MMECHUKIZWA WACHENI UNAFIKI...UREMBO NI FANI NA TUTAJUAJE KAMA NI WAREMBO LAZIMA WATUONYESHE KAZI ALIYOFANYA MUUMBA...C'MON!KAMA KAWAIDA NITAWATEMBELEA ,NA MAMBO YETU YALE...WATAKAOPENDA,NITAWAPA AJIRA KWANGU KAMA KAWAIDA
    chaos

    ReplyDelete
  12. Jamani me mwenzenu humu ndo nitakamokufia humu!

    ReplyDelete
  13. we anony wa 6 una ufinyu? hao wanaume wanaotangazaga pombe wanavaaga chupi na kuacha vifua wazi na nanii??acha utumwa wa akili, Mungu alituumba kwa makusudi, kwa kiburi chetu twasahau kuwa anaweza kutuchukua wakati wowote. tutunze thamani ya utu wetu. wasichana hawa wanatia mpaka huruma. hata hawajitambui, kesho tangazo likisema wavue chupi waweke kichwani watafanya hivyo, halafu itakuwa nini?wako kazini??utumwa huu wa mawazo. urembo haupo katika utupu.

    ReplyDelete
  14. yalabi toba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...