MAREHEMU AGNES JOHN MAGEMBE ENZI ZA UHAI WAKE

Ilikua saa, siku, miezi, mwaka na sasa ni miaka 12 tangu ulipotangulia mbele za haki tarehe 14.09.1998 na kutuachia pengo lisiloweza kuzibika. Umetuacha bila maneno ya kusema tunapomwona mwanao pekee Kelvin B. Lavingya uliyetuachia dakika chache tu baada ya kujifungua ambaye leo hii anatimiza miaka 12 ya kuzaliwa.

Unakumbukwa na Mama yako mpenzi Jenifer M. Mgonda, kaka yako Erick Mgonda, dada yako Allice na mumewe Swedy Mkwabi na watoto Rehema na Luqman pamoja na ndugu jamaa na marafiki wote.

Tataendelea kukukumbuka kwa yale yote uliyotuachia na tunaendeleza pale ulipo acha.

Kimwili hatupo nawe, ila Kiroho tupo nawe daima - Mungu ailaze roho yako peponi,

Amen.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Wow! I had no clue that Agnes had passed away. It's even pity not knowing that she died 12 years ago! RIP.

    ReplyDelete
  2. Rest in Peace Agnes!

    ReplyDelete
  3. Poleni sana! Namtakia kila la kheri mtoto na familia yake katika maisha yake. Mungu ni mwema siku zote na kazi yake haina Makosa. God he will make your way!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...