Shikamoo mr. Michuzi,

Hapa kwetu Muhimbili hatujambo,, pole na mihangiko,
Naomba nimekutumia hizo link ni kwaya ya uinjilisti kanisa la kilutheri kijitonyama tukiwa tunaimba kwenye tamasha la uimbaji lililoshirikisha kwaya za uinjilisti za jimbo la kindonondoni lililofanyika tarehe 12/09/2010 usharikani mbezi beach kkkt tanki bovu,

Nitafurahi iwapo utatuwekea kwenye glob yako tukufu,

Asante,
Mdau wa Muhimbili


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Safi Sana kwa waimbaji wa Kwaya ya Kijitonyama. Nimepata burudisho la moyo kwa sauti nzuri ya waimbaji. Mungu apewe sifa na endelezeni furaha hii ya bwana na wengi waisikie!!

    ReplyDelete
  2. Mbarikiwe sana wapendwa. Mungu awatie nguvu ktk huduma hii ya uimbaji. Kwa miaka takribani 9 iliyopita nilikuwa msharika wa K/Nyama. Nimefurahi sana kuwaona waimbaji kama Flora, Emmanuel(foma foma) Mke wa Masangya na wengine wakiwa wanaendelea kumtukuza Mumgu. Wapendwa kazi yenu si bure ina ujira baadae.

    ReplyDelete
  3. asante kwa video,nyimbo nzuri mbarikiwe!

    ReplyDelete
  4. WOW! AMEN kubwa Kabisa.Bro Michuzi, Asante sana kwa kuitoa hii.Mungu awabariki wote!

    ReplyDelete
  5. Kiwango!

    Fanyeni mpango wa kuingia studio bila shaka copy zote zitaisha in 1 month

    ReplyDelete
  6. Ahsante Issa kwa kukubali kupost kwanya hii.Kwa kweli nabarikiwa sana na uimbaji wa kwaya hii.. Mungu azidi kuwatia nguvu waimbaji wa KKKT Vijana Kijotonyama.

    ReplyDelete
  7. Hongereni sana kwa kuimba vizuri mno CD zenu zinapatikana wapi

    ReplyDelete
  8. Bwana Asifiwe!!!!!!!Asante sana kwa hii post,Mungu akubariki sana.Je tunaweza pata cd?.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...