
naona umehama dar na hizo kampeni zako, hata machozi sikuoni.
basi tafadhal nisaidie kuwajulisha wadau kupitia kitu cha jamii kuwa, Machozi Band tunaendelea na burudani kila week end. Wadau, Friends na Flowers karibuni tu'enjoy pamoja muziki mzuri na kampani ya watu wazuri... Alhamisi - Savannah Lounge,, Ijumaa - Mzalendo Pub na J2 - Thai Village (arabella) - Masaki....
shukrani sana bro, ukirudi uje nikununulie dinner ya thai food maana najua huko kwenye makampeni unakula majunk food tu... (ipost na hiyo! ha ha haaa)
regards
jaydee.....
I admire you sister,you are so genius.Umeamua kutojihusisha na kampeni kwani zinge athiri mapato yako kwa namna moja au nyingine.
ReplyDeleteTupe burudani tu.
Ari zaidi , Nguvu zaidi na Kasi zaidi ya kusaka michango yetu kupitia burudani. Keep it up Mrs Habash
ReplyDelete