brother salaam...

naona umehama dar na hizo kampeni zako, hata machozi sikuoni.

basi tafadhal nisaidie kuwajulisha wadau kupitia kitu cha jamii kuwa, Machozi Band tunaendelea na burudani kila week end. Wadau, Friends na Flowers karibuni tu'enjoy pamoja muziki mzuri na kampani ya watu wazuri... Alhamisi - Savannah Lounge,, Ijumaa - Mzalendo Pub na J2 - Thai Village (arabella) - Masaki....

shukrani sana bro, ukirudi uje nikununulie dinner ya thai food maana najua huko kwenye makampeni unakula majunk food tu... (ipost na hiyo! ha ha haaa)

regards
jaydee.....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. I admire you sister,you are so genius.Umeamua kutojihusisha na kampeni kwani zinge athiri mapato yako kwa namna moja au nyingine.
    Tupe burudani tu.

    ReplyDelete
  2. Ari zaidi , Nguvu zaidi na Kasi zaidi ya kusaka michango yetu kupitia burudani. Keep it up Mrs Habash

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...