wamachinga wakifanya biashara kwenye baadhi ya maeneo yaliyoko katika manispaa ya Bukoba, wamachinga hawa walishapigwa marufuku kufanya biashara katika maeneo hayo lakini hivi karibuni wameanza kuyanyemelea tena, eneo hili liko karibu na hospitali ya mkoa wa Kagera.picha na Audax Mutiganzi,Bukoba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Walivyopigwa marufuku hapo walipewa mahali pengine pa kufanyia biashara zao au???

    Jamani wenye kupata bahati ya kupiga kura mwaka huu amkeni chagueni viongozi watakao wtetea maslahi yenu.

    Kura yako ndioitakayokuokoa na usipovote usimlalamikie mtu

    VOTE!!!

    VOTE!!!

    VOTE!!!!

    ReplyDelete
  2. Home sweet home.

    ReplyDelete
  3. Habari za majukumu mjomba na wadau wazalendo.

    Nasikitika kuwa kunaandika tu haba ri za CCM ilhali ukijua wazi kuwa wadau wako sio wana CCM pekee.

    Nakushauri kama umeamua kuandika habari za kampeni basi jaribu kubalance kwa maana ya kuandika pia habari za vyama vingine vya siasa.

    Thanx

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...