Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Shamsa Mwangunga akitiliana saini makubaliano ya Ushirikiano wa kiutalii kwa nchi ya Tanzania na Msumbiji na na Waziri wa Utalii wa Msumbiji,Mhe. Sumbana Junior.waliosimama nyuma ni Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji,Mhe. Balozi Ngaiza(pili kushoto) na Mkurugenzi wa Utalii-Wizara ya Maliasili na Utalii,Bi. Maria Mmari (kushoto) pamoja na wafanyakazi wa ubalozini.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Shamsa Mwangunga akiwa na mwenyeji wake Waziri wa Utalii nchini Msumbiji,Mhe. Sumbana Junior wakipiga makofi kwa kujipongeza mara baada ya kutiliana saini makubaliano ya Ushirikiano wa kiutalii kwa nchi ya Tanzania na Msumbijina katika hoteli ya Polana Serena,Jijini Maputo
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Shamsa Mwangunga (pili kulia) akiwa pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji,Mh. Balozi Ngaiza (kushoto), Mkurugenzi wa Utalii,Bi.Maria Mmari (pili kushoto) Afisa wa Ubalozi,Bw. Frank Mwega (kulia) na waliosimama ni Bw. Ndunguru na Bw. Kibebe woto Maafisa katika Wizara ya Maliasili na Utalii.wakiwa katika picha ya pamoja katika hoteli ya Polana Serena,Jijini Maputo mwishoni mwa wiki iliyopita.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kaka Mwega naona unarepresent FSO's ....big up..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...