


hizi ni baadhi ya picha za namna shughuli ilivyokuwa hapo jana usiku. Leo hii kuanzia saa Mbili usiku Jagwa watakuwa katika mji wa Roskilde kwa ajili ya makamuzi mengine.
Kwa niaba ya wasanii wote pamoja na kampuni za jahazi media na maisha music tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwa jumuiya ya watanzania ambao walijitokenza kwa wingi kujumika nasi.
ahsanteni
Kwame Mchauru
Dah! anko umenikosha kweli,next time mwaga misegele,Mindnda na Vanga zakujizolea.udenda unanitoka,duh! minonino hiyooo.
ReplyDeleteSalamu kwa HADIJA KICHUPI,SAIDI KICHECHE, MWAMVITA JAMVI LA WAGENI.
MWANAHERI MDONDO,BOKA MITAMA,IBRA NGETA, MSOGA, MWAMVUA NISAIDIE, MWANAHAMISI CHAWOTE;
SIKUZANI BAKARI;
MWAJUMA HAZIMTOSHI,MUDI KWIJI;CHAUSIKU SWALEHE:
FIKIRI ;SIBAYA ;MWAJUMA RAMADHANI;NYAMIZI,JUMA FAKI JUMA NA LUCY MOYO
R.I.P MUDI MIKOBA,MZEE IDDI NA KASSIM ALLY:
WABEBA Box Wazalamu mpooooooooooooo??????????
Kama watarudi wote bongo ni bahati. Nina uhakika kama waandaaji hawakuwa makini harudi bongo mtu. Ni kazamia (box)kwa sana
ReplyDeleteMdau Majuto Uswidi.
jamani tuleteeni UK hawa watu!!
ReplyDeleteACHA HIZO WEWE!!!!! WAMERUDI WOOOTE BONGO WALA HAWAKUBABAIKA NA ULAYA HABARI NDO HIYOOO!
ReplyDeleteILA EE BWANA WEE SIO MCHEZO JAMA WAKO JUU WANA JUA KUCHEZA WADENISHI(WAZUNGU) WALICHANGANYIKIWA JAMAA WALIKAMUA KISAWA SAWA WALIO WALITOA UJUMBE KWA KUCHEZA NA WAZUNGU WALIELEWA WAKO JUUU UKWELI KILA ALIYE KUWEPO ALIFURAHI