MAMBO UNCLE MISUPU?
NATARAJI UPO MZIMA NA UNAENDELEA VYEMA NA KAMPENI ZA 2010,MIMI MDAU MKUBWA WA BLOG YETU YA JAMII,
UNCLE NINAMSHUKURU MUNGU KWA KUPATA SAFARI YA KWENDA KUBADILISHA MAZINGIRA KIDOGO UJERUMANI KWA MUDA WA WIKI NA NUSU AMBAPO NAANZA WIKI IJAYO.
LENGO LANGU LA KUKUAMBIA HIVI NI KWAMBA NAOMBA UTARATIBU WA KUPATA BENDERA ZA VYAMA VYA SIASA VINAVYOSHIRIKI KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA RAIS HAPA NCHINI NIENDE NAZO HUKO ILI “PWEZA PAULO”AKATABIRI NI CHAMA GANI KITASHINDA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA MWAKA HUU!
NITASHUKURU KWA MSAADA WAKO NA NINAKUHAKIKISHIA NITAPIGA PICHA NA NITAKUTUMIA ENDAPO PWEZA PAULO ATAKAPOTABIRI,WADAU NAOMBA MAONI YENU PIA.
By Ngulla Senior.
NATARAJI UPO MZIMA NA UNAENDELEA VYEMA NA KAMPENI ZA 2010,MIMI MDAU MKUBWA WA BLOG YETU YA JAMII,
UNCLE NINAMSHUKURU MUNGU KWA KUPATA SAFARI YA KWENDA KUBADILISHA MAZINGIRA KIDOGO UJERUMANI KWA MUDA WA WIKI NA NUSU AMBAPO NAANZA WIKI IJAYO.
LENGO LANGU LA KUKUAMBIA HIVI NI KWAMBA NAOMBA UTARATIBU WA KUPATA BENDERA ZA VYAMA VYA SIASA VINAVYOSHIRIKI KATIKA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA RAIS HAPA NCHINI NIENDE NAZO HUKO ILI “PWEZA PAULO”AKATABIRI NI CHAMA GANI KITASHINDA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA MWAKA HUU!
NITASHUKURU KWA MSAADA WAKO NA NINAKUHAKIKISHIA NITAPIGA PICHA NA NITAKUTUMIA ENDAPO PWEZA PAULO ATAKAPOTABIRI,WADAU NAOMBA MAONI YENU PIA.
By Ngulla Senior.
Ndugu unayejiita Ngulla Senior.Kuna picha watu wanazisambaza mtandaoni kuonyesha huo Ushirikina wa huyu Pweza Paulo.Ukweli ni kwamba nafikri unatutega ili utuletee hiyo picha ya kutengeneza mtandaoni ili ukipigie chama chako debe...CCM ndio chama pekee na JK ndio Baba lao ndio utabiri wa Mababu zetu juu ya ukombozi wa Mtanzania acha mbwembwe zako wewe mtu
ReplyDeletekaka hongera kwa ziara yako, lkn unataka ijulikane kitaifa au utani tu? kaka una hakika vyama vyote vinataka utabili wa pweza?
ReplyDeleteila kama shida ni bendera, nenda mtandaoni zi printi kisha bandika kwa chombo husika mpe pweza, huna haja ya kwenda nazo,
safari njema
Huyo Paul nimesikia sana umaarufu na ujuzi wake wa kutabiri. Mimi nina agenda nyingine, ile ya mchuzi ya pweza kwa urojo wa tuo la nazi,pilipili hoho na mabiringanyi,ewe mdau ukifika ugerumani mwambie Paul namkaribisha jikoni kwangu aje kwa likizo
ReplyDeleteHivi huyo pweza si chef Issa alikwisha tengeneza supu yake? kama bado yupo, ambacho hakijulikani sio chama gani kitashinda, bali kwa asilimia ngapi kati ya 98 99 na 100. Hivyo ziandike tu hizo namba kwenye vibao na ukampe pweza Paul.
ReplyDeletePweza yuko UK. Mara ya mwisho ilisemekana alikua mzee sana. Kwa maoni yangu umechelewa.
ReplyDeleteNONSENSE.
ReplyDeleteSasa unamwambia nani kwamba unakwenda ujeruman?? kuna watu wamekaa europe miaka nenda rudi na hawasemi, watu tupo USA na hatusemi wewe kasafari kwa wiki moja ndio unatangaza hapa?.
Wewe umekulia bongo na unakula vumbia la bongo miaka nenda rudi leo unajifanya hujui bendera za vyama utapata wapi? pumbuva kabisa 4 waste our time. Michuzi hizi article nyingine usiwe unabandika hapa khaa. Wewe mdau unabahati ningekuwa nipo ujerumani ningekusubiri airport ni kutie mbata, na watu kama wewe ndio maana hampewi visa za marekani coz ni vichwa panzi
Kwa hulo you do not need pweza.
ReplyDeleteBara mshindi JK na dZenji Mshindi ni Seif Sheriff Hamad.
(US Blogger)
Huna sera, unategemea ramli ili iweje? au kama pweza atatabiri kikubwa ni nini hapo?? na pia inaonekana bado mshamba na ni safari yako ya kwanza toma uzaliwe lete mada za maana si kama hizi, ni bora ungesema naomba bendera ya taifa nitangaze nchi yangu kuliko ujinga ulio andika humu. na akili zako timamu unakaa na pc una type ujinga badara upaki vitu kwenye bag uote kwenda JK nyerere .
ReplyDeleteMCHAKACHUAJI WA HABARI.
KINDU WA LIKINDU.
TANDALE.
Pweza wala hahitajiki kwani CCM wanae Professa Maji Marefu ambaye anagombea Korogwe vijijini, yeye anauwezo wa kugeuza kura zote zinazopigia upinzani zisomeke CCM ndio maana wamemteua, na akiingia bungeni anafanya dawa zake wabunge wote wa upinzani hawawezi kuongea. kama huamini subiri utaona,CCM sio mchezo bwana!
ReplyDeletetatizo watu mna presha nauchaguzi mtazani ndiomara ya kwanza kufanyika uchaguzi wa vyama vingi smeni tu kipochama kinawapandisha presha muache kupaniki hata kama sio mwaka huu chama kinacholeta presha kwa kweli wapo watakaopata mushkeri yakhe kama siomwaka huu wali utaliwa tu hata miaka ngumi ijayoooo
ReplyDeleteMIMI NAENDELEA KUWAPONDA WATU KAMA HAWA, UNAKWENDA UJERUMANI UNATANGAZA NAMNA HII KANA KWAMBA UNAKWENDA PARADISE. WACHA USHAMBA WEWE, WAJERUMANI KIBAO WANAKUJA AFRIKA KUSHANGAA MAAJABU YA HUKU WE UNAFAGILIA KWENDA HUKO, PUMBAVU SANA.
ReplyDeleteNASHAURI HUYU MJAMAA ATUTUMIE UWEZO NA KIWANGO CHAKE CHA KUCHANGANUA ILI TUM JUDGE, UNATUZINGUA! WATU KAMA HAWA COMMENTS ZAO ZISIPORUSHWA HEWANI WANABANA PUA SAAAAANA. NA WEWE UNAETABIRI JK ATASHINDA BARA NA VISIWANI MAALIM SEIF KABLA KURA HAZIJAPIGWA WALA KUHESABIWA, HUNA SERA, JORA MOJA NA MBUMBUMBU LINALODAI KWENDA UJERUMANI.
KK
MAGAMBA COAST.
Audhu Billah
ReplyDeleteHuyo jamaa hapo juu NONSENSE ni mtwana jeuri na fedhuli na kapungukiwa kidogo ie hamnazo wamombo wasema he is a sandwich short of a picnic. Look at his argument,mdau aliyetuambia aenda
ujerumani jamaa asema ajitapa, lakini yeye kutuambia kuwa yuko USA huko si kujitapa. Why do some people like to think when someone says something even in jest they have a hidden agenda,yule nyani anayemcheka nyani mbele yake kuwa ana baka jeupo matakoni.
Samahani wote I think I am in bad mood today otherwise I just ignore mapumba ya mpunga
Eti watu tupo USA na hatusemi sasa umepumua, amekupotezea mudaaa nani kakulazimisha kusoma au kuvisit misupu, kwenda zako endelea kubeba box huna jipya na huwezi kuja bongo kula bata
ReplyDeletehatuna haja ya utabiri wakati ukweli tunauona we unaona kuna ushindani hapoo labda uchukue picha za wake zako akakutabiriee wewee
ReplyDelete