Home
Unlabelled
Mhujumu wa picha za wagombea wa CCM Iringa akamatwa na polisi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yaani mnatumia resources zote izo kumkamata mpiga picha? Mbona kuna mafisadi kibao tunaowajua ambao hamuwakamati? Polisi bwana, mara nyingine wanafanya mambo ya kitoto sana.
ReplyDeleteWewe uliyetoa maoni hapo juu Tue Sep 14, 11:11:00 PM, umyasomasoma hayo maelezo ya picha vizuri au umerukia kutype tu mawazo yako? hebu soma japo hiki kijisehemu cha hayo maelezo ya picha ".........polisi wakiwa wamemkamata kijana mmoja ambaye alikuwa akichana picha za mgombea ubunge wa CCM ............."
ReplyDeleteMdau
KCC
1.Zote hizo ni dalili za Mama Mbega kutokukubalika, watu wanataka mchezaji wa akiba waone kama ataweza kufunga magoli ya maendeleo, dk ulizocheza MM Mbega zinakutosha mpishe mwingine.
ReplyDelete2.MM Mbega unatuambia eti ni heshima kwetu wana Iringa Mjini kwa ww kuwa mkuu wa Mkoa,hilo MM umechemka, hatutaki mtu aliye mbali na wapiga kura wake, miaka yote imekuwa hivyo ukiondoa mwaka 1995(Upinzani ulipokuwa madarakani) kwa wabunge kukaa mbali na wananchi safari hii imekula kwako historia inajirudia
3. Ofisi ya msaidizi wako imekuwa kero kwa kiasi kikubwa, bora aingie mwingine tuangalie hali itakuwaje.
4. Kitendo cha NEC kukupitisha ilikuwa ni dharau kwa Mhehe/Iringa mjini na hili unalijua fika rejea historia ya mwaka 1995.
Siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli
Sasa kosa la huyo kijana ni nini? freedom iko wapi? kwani ukichana mapicha yaliyobandikwa mitaani ni kosa au kwa vile ni za Raisi?
ReplyDeleteMimi nashindwa kabisa kuelewa nchi yetu ikoje na sheria zake. bado ni ubabe babe tu and pp cannot express atheir feelings at all halafu ndio mnasema kuna amani , kuna amani ...amani gani kama mabo yenyewe ndio hivyo
Nawee michuzi najua hutaposti hii kwa vile na wewe ni hao hao tu
bora wangewakamata wezi wa TRA pole kaka wewe ndo 6 au 10 miaka sawa na mwizi wa kuku wanaozea jela wezi wa mabilioni ni 2years and back to work with transfer some place but same company tanzania shame on ourserf
ReplyDeleteAnon Hapo Juu, Sidhani Kama ni aliyekamatwa ni mpga picha ila amechana picha!!
ReplyDeleteSioni Kosa kosa hapo!! Kwani Uchani maana yake ni nini? Ni kitu chochote ambacho hakiko mahali pake/panapostahili. Sasa Tunajuaje hizo picha zilikua mahali gani na labda zilikua mahalli ambapo kwake yeye ni kama uchafu au ni ktk himaya yake!! Wanaochana za Chadema, Cuf..... Mbna sijasikia kuna aliekamatwa au wao za kwao kuchanwa ni haki!!??
Msitulazimishe woote tuwe CCM!! Muachiane Mara Moja. Mfuatilie masuala ya msingi.
watu wote hawa kwa ajili ya kumkamata kijana mmoja? kweli polisi wapo kuilinda ccm.
ReplyDeleteKama tumewaambia kwa maneno wana Iringa hatumtaki Monica Mbega hamsikii so what next ni kuchana na kutupa it away.
ReplyDeleteMbona hao wakazi wote ni watoto? Just being curious...!!
ReplyDeleteSISIEMU MTATUMIA NGUVU SANA KUFANYA VITU VIDOGO SANA AISWEA HATA KAMA CHADEMA WATAPATA KURA MOJA SAFARI HII, BASI HIYO KURA NI YANGU.
ReplyDeleteyani kweli ccm wamefuliaaaaaaaa,picha za chadema,cuf zimechanwa hatujaona polisi wakiwakamata,na nyie polisi angalieni mnaikumbatia ccm halafu ndo hao wanakupeni mishaara mbuzi,ppfffuuuu
ReplyDeletemtu amechana picha, mnakuja na bunduki, kweli Juma Nature alisema kweli.. mi nilidhani anatania!
ReplyDeletenikikumbuka nacheka, nikisahau nalia!?
= = =
Buffalo,
New York
Kawasaidia Kutowa Picha jamani kampeni mshaandika zimeisha sasa mnataka nini? ah Chi Che Mi bwana.
ReplyDelete