Home
Unlabelled
Ridhiwani alipotembelea shule aliyosoma nachingwea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
uncle misupu, hivi TANU bado ilikuwepo mwaka 1987?? au ulimaanisha katibu wa CCM..
ReplyDeleteAisee Michuzi umenikumbusha home.. Yani Nachingwea pale miembeni ndo nyumbani penyewe hapoo .....amaa
ReplyDeleteHuyu kijana ana matatizo kichwani, na anahitaji msaada wa ushauri nasaha wa haraka, vinginevyo huko tuendako tutaona vioja vyake vingi!!!
ReplyDeleteNATAKA NIFANYE UTAFITI HUO MDA ALIOPIGA PICHA NA HAO WATOTO WA SHULE ILIKUWA SAA NGAPI. MAANA KAMA ILIKUWA NI WAKATI WA VIPINDI KUNA KILA SABABU YA KUWAWAJIBISHA HAO WAALIMU KWA KUMRUHUSU MPITA NJIA KUINGIA DARASANI KUWA SUMBUA WATOTO WAKATI WA VIPINDI.
ReplyDeleteBIG UP RIDHIWANI.TUWE TUNAPELEKEA ANGALAU VIFAA VYA MICHEZO KATIKA MASHULE TULIKOSOMA WAJAMENI!
ReplyDeleteHivi baada ya kumtembelea mwalimu wake ambaye anaishi katika mzingira duni.. angalia kitanda cha telemka tukaze.. yeye na chama chake wana mpango gani kuwainua watumishi kama hawa ambao wamejitoa mhanga kuwapa elimu hadi wafanikiwa?
ReplyDeleteSasa bwana Ridhiwani inabidi amchumbie Husna,manake mtoto anaonekana mrembo,
ReplyDeleteCCM ilizaliwa huko zanzibar 1977/1978 kama sikosei. Hizi habari zinakanganya. Halafu unataka kunambia Kikwete alikuwa katibu wa TANU 1987? Mmmh hawa ndo wale wale.
ReplyDeleteRidhiwani, toa asante kwa mwalimu wako kama vile kumnunulia angalau pea moja ya viatu. Utapata baraka huko mbele.
ReplyDeleteUkiiangalia picha ya kwanza inaeleza mengi. Mwalimu Makong'o na bintiye wanaonekana kama watu ambao walikuwa hawataki kupiga hiyo picha ila kuna wanakiogopa ndio maana wakakubali.
ReplyDeletemambo mengine hayana umuhimu kuyaweka public this like uzalilishaji flani vile. ni kama dogo anatuambia oneni maisha yangu yalivyotofauti na ya wengine. let us be realistic.
ReplyDeleteHuyo Rizwani kama hajaoa namshauri amuoe huyo binti wa Mwalimu wake.
ReplyDeleteNawasilisha
najua kuna comments nyingi zimebanwa sitopoteza mda kutoa maoni yangu.
ReplyDeleteDuuuhh hii imenikumbusha enzi za marehem Saddam Hussein na watoto wake Qusay na Uday Hussein,ilikuwa imefanana kihivi.
ReplyDeleteHivi Ridhiwani kikwete ndo mjumbe pekee wa baraza la utekelezaji la umoja wa vijana?Baraza hili lina wajumbe wangapi? yale yale ya Omar Bongo? familia hii ina viongozi wangapi?tusipoangalia tuarudi kwenye unyalubanja sasa hivi? na Madaraka Nyerere, Vicent hatukuwasikia kipindi cha mwalimu.Katiba ya nchi sasa ionyeshe mwisho na mipaka ya madaraka ya familia ya rais Kikwete huu ni uswahili, hata Mkapa hakufanya haya.Mwalim Nyerere fufuka uone haya.
ReplyDeleteMdau, mpenda maendeleo ya Tanzania.
Amaaa bwana wewe wa miembeni ,mi wa posta pale,ulijumushila?Ngunjaaaaaaaa hatariiiiii.
ReplyDeleteamaaa ulijumushilaa, abali ingine? Wee aloo ngunja ile atalii, mimi kummiss nyumbani uko atalii bwana wewe ....amaaa
ReplyDelete