Meneja Mkuu wa Uhusiano, mawasiliano na Jamii wa SBL,Teddy Mapunda amewaeleza Waandishi wa habari kuwa nia na madhumuni ya kufanya shindano hili kwa Tanzania ni kutaka kuinua vipaji vya Watanzania hapa Tanzania.
Tusker Project Fame kwa mwaka huu itakuwa inashirikisha nchi tano ikiwemo Kenya, Uganda, Rwanda, Tanzania pamoja na Sudani ya Kusini.
Aidha Teddy amesema kuwa usahili kwa ajili ya shindano hilo utafanyika katika hoteli ya Peacock-Mnazi Mmoja siku ya jumamosi kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 11 jioni.
Amesema kuwa washiriki wa shindano hilo ni lazima wawe na umri wa miaka 23 na kuendelea na wawe na vitambulisho vyao kuhakiki umri wao,"fomu za kujiunga zinapatikana Mlimani City, Benjamin William Mkapa Towers, IPS Building pamoja na sehemu ya usahili wenyenyewe pale Peacock Hotel", amesema.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...