

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
eeeeeeeeeeeeh!!
ReplyDeletehawa wananchi wa vijijini wakishapewa tshirt, kanga na kofia utawaona uwanjani lakini tusubiri tuone tarehe 31st oktoba. kwa kibosho nakubali ccm ila jimbo la hai ni chadema
ReplyDeleteJIMBO LA HAI NI MALI YA CHADEMA, WANANCHI WAMEKUJA TU KUSHANGAA KAMA KAWAIDA YAO LAKINI KURA TAYARI WALISHAAMUA NANI WA KUMPA.
ReplyDeleteYAANI SASA NIMECHOKA KABISA KILA SIKU NIKI-INGIA MICHUZI BLOG NI HABARI ZA CCM TU, HII KWELI NI BLOG YA CHAMA.
ReplyDeletemichuzi blog yako imegeuka blog ya ccm. kila siku unapoteza wapenzi wanaotembelea kama ulikuwa hujui basi ndiyo hivyo. unapoteza watu wengi sana.
ReplyDeletemi nadhani bado unaweza fanikiwa hata bila kujikomba kwa ccm. ukana mahala see
ankali mimi vichwa vya habari za kikwe bloguni huwa navikubali sana.
ReplyDeleteJK Aingia Mkoa Wa Arusha Kwa Kishindo
JK apagawisha
wananchi wapagawa kumlaki JK
JK funika bovu
mamia kutoka upinzani wajiunga mapinduzi
JK Akonga Nyoyo Mkoani Kilimanjaro
Ridhiwani Kikwete Avunja Makundi Lindi
JK Aiteka Moshi Leo
sijui katarushwa au katapotezewa!!?? aah lkn kama vipi poa
Moshi inaleta sura kidogo katika mambo ya kampeni. tofauti na maeneo mengine. hapa tunaona watu wazima ndo wengi. Kwingineko naona ni vijana wadogo wengi zaidi na watoto ndo wanahudhuria mikutano ya kampani. hongereni wachaga kwa kujitokeza kuwalaki wagombea.
ReplyDeletemsameheni kaka michuzi jamani na yeye binadamu pia anatafuta rizki haweze kuilisha familia yake kama nyie.
ReplyDeleteMichuzi hana ujanja kwani ni mwajiriwa wa serikali ya CCM. Posho za safari analipwa na CCM hivyo lazima aendelee kujikomba kwao. NAJUA HUTOCHAPISHA HII COMMENT LAKINI UKWELI UMEUPATA!
ReplyDeleteHivi nyie Anon mnafikiri kuletewa picha humu ni suala la kukurupuka? Mnapoambiwa kuwa CCM imejipanga kiorganaizesheni na kimkamkati mnafikiri nini.. Alaa!!Mnataka Michuzi awapigie kampeni kwani hii kazi ya kanisa? Mbona kule JF mko CHADEMA? Sasa shida iko wapi. Ukitaka leteni picha zenu tuzione hapa. Mnalia?? Inauma?? Eti Michuzi mbona hutuletei? Waambieni na nyie watu wenu walete picha la hilo lijibaba lenu mwizi wa wake za watu hili tuzione. Mtu mwenyewe he is not even photogenic aagh. No charisma no mvuto. Sasa angalia lisura lake halafu maneno yaliyojaa ghadhabu na hasira anavyofoka mithili ya gharika. No jamani. He is not impressive at all. Wimbo ni wa mafisadi mafsadi. Kumbe anasahau kuiba mke wa mtu ndiyo ufisadi wenyewe. Ukijulimsha na nguo zake za kijeshi. Nikiwa mpiga kura napata picha ya wanamgambo wa Ilala wanavyowanyanyasa wamachinga.
ReplyDeleteAnkal, ningetoa ushauri kwamba, kila mwisho wa wiki prefferably sunday evening unatoa post most ambayo in picha za wiki nzima za kampeni.
ReplyDeletemaybe, maybe not hapo. nitajaribu?
= = =
Buffalo,
New York