Katibu mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Ruth Mollel akizungumza na waadishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya tabaka la hewa ya Ozoni yatakayofanyika kitaifa kesho mkoani Mwanza kauli mbiu ikiwa "Hifadhi ya Tabaka la Ozoni:Tuzingatie wajibu na majukumu yetu katika uhifadhi wa tabaka hili" .Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Mazingira,Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Julius Ningu.
Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.
Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...