Asalaam aleikum bro Michuzi,
pamoja swaum uliyonayo nina suali dogo la kizushi, eti katkika suala zima la kuibua miradi na ujasiriamali hii imekaaje? Halafu hapa kama bongo vile, hayo si maji ya uhai au?? Kina mama wanaonaje?
Mdau Umangani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. hiiimekaa sawa hasa ukizingatia katika kipindi hiki wanawake wengi wanajifanya wapo busy na mambo yao wengine ndio walishatangaza nia sasa wapo kwenye pilikapilika za kampen so ni vyema akakuacha maeneo kama hayo kwa usalama wake na wako zaidi. hii kitu naomba iboreshwe zaidi ipatikane mikoa yote ya Tanzania itatupa faraja na pumziko hasa kipindi wake zetuwanapokuwa busy na mambo mengine. nawatakia kazi njema walioanzisha hiyo huduma wekeni juhudi tupo pamoja nanyi

    Kitunyantutumbe

    ReplyDelete
  2. Mdau - UghaibuniSeptember 04, 2010

    kweli huyu aliyeanzisha ni mjasiliamali halisi,inavoonekana hata huduma yake itakuwa bora sana. mdau yeyote anayejua inakopatikana tafadhari anijuze?

    ReplyDelete
  3. Nkonongwa,Kilindoni MafiaSeptember 04, 2010

    Ankal, tafadhali saaana tuelekeze njia ya kufika hapo au hata namba za simu ili tuelekezwe.

    ReplyDelete
  4. ok wewe unapumzika na mke wako anapumzishwa huko je upo tayari?

    ReplyDelete
  5. Hiyo ni bar. Wametumia polite language tu.

    ReplyDelete
  6. kwenye familia ambazo wandhamini watoto wao wasione mambo kama hayo hadharani, ni wapo mabali katika kila maendeleo, lakini kwa walala hoi ambao elimu kwa familia ni kazi kuipata, ni rahisi sana kufurahia mambo kama haya. Bila hata kufikiria wao wameshaona ni tanzazo poa na hakuna tatizo kwa sasa hata kwa familia zao hapo baadae.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...