Home
Unlabelled
swali la kizushi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hiiimekaa sawa hasa ukizingatia katika kipindi hiki wanawake wengi wanajifanya wapo busy na mambo yao wengine ndio walishatangaza nia sasa wapo kwenye pilikapilika za kampen so ni vyema akakuacha maeneo kama hayo kwa usalama wake na wako zaidi. hii kitu naomba iboreshwe zaidi ipatikane mikoa yote ya Tanzania itatupa faraja na pumziko hasa kipindi wake zetuwanapokuwa busy na mambo mengine. nawatakia kazi njema walioanzisha hiyo huduma wekeni juhudi tupo pamoja nanyi
ReplyDeleteKitunyantutumbe
kweli huyu aliyeanzisha ni mjasiliamali halisi,inavoonekana hata huduma yake itakuwa bora sana. mdau yeyote anayejua inakopatikana tafadhari anijuze?
ReplyDeleteAnkal, tafadhali saaana tuelekeze njia ya kufika hapo au hata namba za simu ili tuelekezwe.
ReplyDeleteok wewe unapumzika na mke wako anapumzishwa huko je upo tayari?
ReplyDeleteHiyo ni bar. Wametumia polite language tu.
ReplyDeletekwenye familia ambazo wandhamini watoto wao wasione mambo kama hayo hadharani, ni wapo mabali katika kila maendeleo, lakini kwa walala hoi ambao elimu kwa familia ni kazi kuipata, ni rahisi sana kufurahia mambo kama haya. Bila hata kufikiria wao wameshaona ni tanzazo poa na hakuna tatizo kwa sasa hata kwa familia zao hapo baadae.
ReplyDelete