NI DAKIKA YA 34 SASA NA TAIFA STARS INAONGOZA KWA BAO MOJA LILILOFUNGWA DAKIKA MBILI ZILIZOPITA KWA FREE KICK YA MITA 30 NA ABDI KASSIM, KATIKA MCHEZO WA KUTAFUTA KUFUZU KUCHEZA FAINALI ZA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA UWANJA WA MUSTAPHA TCHAKER MJINI BLIDA.
NI MAPUMZIKO SASA NA ALGERIA WAMERUDISHA BAO DAKIKA YA 45. TAIFA STARS WANAKIPIGA HASWA ILA TU UMALIZIAJI KIDOGO KUNAWAANGUSHA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. nipo naangalia live hapa, mpira wa Tanzania umebadilika sana na vijana wanacheza kama international players

    ReplyDelete
  2. Mi naangalia hii mechi, kusema ukweli maximo amebadilisha sana mpira wa tz kwa sababu wachezaji wetu sasa hivi wanacheza kwa kujiamini.kwenye hii mechi stars wanacheza defensive game ila counter attacks zao sio effective sana, kwa ujumla mpira ume- balance ila algeria wanaweza kuwa na a little more possession ukilinganisha na sisi. mpaka sasa hivi algeria wanajua kwamba kazi wanayo kama walitu-underestimate.

    ReplyDelete
  3. Freekick kama Roberto Carlos Tehteh... Tunatakiwa tukaze sanan yuma na Ngassa awe anatowa Pasi haraka.

    ReplyDelete
  4. Wale wa Net link hii hapa http://www.iraqgoals.tv/ch2.html

    ReplyDelete
  5. Ankal,
    warushie hii link waone live

    http://atdhe.net/23495/watch-algeria-vs-tanzania

    ReplyDelete
  6. 1-1 Final score.Sijui niseme nini links zote michosho.

    ReplyDelete
  7. duh huyu abdi tulisoma pamoja shule akakimbia darasa la saba tu sasa anawika nikimkuta ulaya nambakisha mi ndio awe agent wake

    ReplyDelete
  8. Michosho labda Net yako ndio Ilikuwa Mchosho Haina Speed ya maana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...