NI DAKIKA YA 34 SASA NA TAIFA STARS INAONGOZA KWA BAO MOJA LILILOFUNGWA DAKIKA MBILI ZILIZOPITA KWA FREE KICK YA MITA 30 NA ABDI KASSIM, KATIKA MCHEZO WA KUTAFUTA KUFUZU KUCHEZA FAINALI ZA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA UWANJA WA MUSTAPHA TCHAKER MJINI BLIDA.
NI MAPUMZIKO SASA NA ALGERIA WAMERUDISHA BAO DAKIKA YA 45. TAIFA STARS WANAKIPIGA HASWA ILA TU UMALIZIAJI KIDOGO KUNAWAANGUSHA.
nipo naangalia live hapa, mpira wa Tanzania umebadilika sana na vijana wanacheza kama international players
ReplyDeleteMi naangalia hii mechi, kusema ukweli maximo amebadilisha sana mpira wa tz kwa sababu wachezaji wetu sasa hivi wanacheza kwa kujiamini.kwenye hii mechi stars wanacheza defensive game ila counter attacks zao sio effective sana, kwa ujumla mpira ume- balance ila algeria wanaweza kuwa na a little more possession ukilinganisha na sisi. mpaka sasa hivi algeria wanajua kwamba kazi wanayo kama walitu-underestimate.
ReplyDeleteFreekick kama Roberto Carlos Tehteh... Tunatakiwa tukaze sanan yuma na Ngassa awe anatowa Pasi haraka.
ReplyDeleteWale wa Net link hii hapa http://www.iraqgoals.tv/ch2.html
ReplyDeleteAnkal,
ReplyDeletewarushie hii link waone live
http://atdhe.net/23495/watch-algeria-vs-tanzania
1-1 Final score.Sijui niseme nini links zote michosho.
ReplyDeleteduh huyu abdi tulisoma pamoja shule akakimbia darasa la saba tu sasa anawika nikimkuta ulaya nambakisha mi ndio awe agent wake
ReplyDeleteMichosho labda Net yako ndio Ilikuwa Mchosho Haina Speed ya maana.
ReplyDelete