



Watanzania waishio Tokyo na maeneo jirani ya Kanto walipata futuru ya Ramadhani Kareem kwa pamoja maeneo ya Odakyu Sagamihara Kanagawa ken.
Shukrani nyingi sana ziwaendee Watanzania woote waliojitokeza kwa wingi kwenye Futari hiyo ya Ramadhani Kareem.
Mwenyezi Mungu Awabariki sana.
Tembelea HAPA kwa picha zaidi
Pia shukrani za kipee zikufikie Kaka Michuzi kwa kutuunganisha humu Duniani.
Wako.
USWAZI blog..
hew..!!!huu mwezi uishe..maana kufuturu sasa imekuwa issue..tumechoka jamani fanyeni mengine ya maana ya pamoja..Looool.
ReplyDeleteMBONA WADAU WA TOKYO MMECHOKA HIVYO UKO SI NDO KWENYE PESA ??? FUTARI NJEMA JAMANI HILA KAMA LIFE GUMU RUDINI TU MA KWENU !!
ReplyDeleteduh! hawa jamaa washakua sura zao kama wajapani vile vile kumbe ile nchi ukikaa tu sura inabadilika au wana technologia wale yakubadilisha?
ReplyDeleteSayonara Japan. All the best wadau.
ReplyDeleteKWAKWELI NDUGU ZETU MMECHOKA KAMA LIFE NI NGUMU MRUDI TUU UKU MUONGEZE IDADI YA WAPIGA KURA TUPATE VIONGOZI WATAKAO TUPA KAUNAFUU.
ReplyDeleteWe mchangiaji wa kwanza huna akili: mbona watu wakitoa picha za pamoja wanakunywa pombe hulalamiki? Tuendelee kufutaru pamoja, wasiopenda wajiue.
ReplyDeleteduh mazingira mbona kama ya hapa hapa nyumbani?yani background sio kabisa duhh taaabu kweli kweli i thot japan kumeendelea
ReplyDeletealiye nnje haya jui ya ndani....
ReplyDeletemaisha ya japani si ya kuuza sura...Daima Jp watu wanaangalia salio ktk Account siyo mavazi na sura... kwani hakuna mashindano ya kupaka poda huku kama ndugu zetu waishio europer na america ukitaka kuona tofauti..... huko kwetu kwa Bii mkubwa...watu wanarudi na nguo na picha tu...mashariki ya mbali wanashuka na.... jibu liko mjini
Wee mdau wa kwanza yaani una roho mbayaaaaa,umeshindwa kujificha kabiosa polee weee.
ReplyDeletehiyo picha ya pli nina hakika waandazi wa ftari ni wanaume
ReplyDeletewadau wajapani kweli mnaonaekana chokest sana hata hiyo sehemu mliyofuturia iko kama gongo la mboto uswazzz, hamuwaonagi wenzenu wa mji wa kusoma mabishow wa ukweli, mfungo haimaanishi watu wasiwe smart noo muwe smart ndo mnaongeza thawabu sio mnakaa kihasarahasara ili watu wajue mmefunga, mnaharibu saumu eeh! washington dc na kwingineko tumeni picha zenu wadau wa toronto leteni vitu hapa au nyie ni makobe?
ReplyDeletewe mdau acha kutetea pumba ati maisha ya japani sio kuuza sura. ndio mkae kama wachunga ng'ombe?? hatuambii kitu kazi na dawa ina maana huko ni kazi tuuu hakuna kujiachia?? mbona club ziko za kumwaga? acheni hizoo mjifunze kuwa watanasahati full stop!! ebu oneni tuu hao wamama sijui wadada walivyovaa, hivi mmeona wamama na mademu wa kibongo mwezi huu wa toba unatamani usiishe wanapendeza na mavazi yao kweli hadi wanatia hamasa na sie wa dini nyingine tuwaige, kwa jinsi wanavyopendeza. badilikeni mko majuu ati alah
ReplyDeletewee mdau uliochoka na futari pole saaaaaaaaaaaaaaaana upele usiokuwa nao unakuwashia nini???????? Utajibeba siye wenyewe mwezi wetu tunaupenda tunatamani uendeleeeeee kuwa mvumilivu ili ujenge huo umoja unaosema pole sana
ReplyDeletewee mdau uliochoka na futari pole saaaaaaaaaaaaaaaana upele usiokuwa nao unakuwashia nini???????? Utajibeba siye wenyewe mwezi wetu tunaupenda tunatamani uendeleeeeee kuwa mvumilivu ili ujenge huo umoja unaosema pole sana
ReplyDelete