Wadau wakifturu pamoja
maandalizi ya ftar yakiendelea.
dua ikisomwa baada kuliwa kwa ftar.


Watanzania waishio Tokyo na maeneo jirani ya Kanto walipata futuru ya Ramadhani Kareem kwa pamoja maeneo ya Odakyu Sagamihara Kanagawa ken.

Shukrani nyingi sana ziwaendee Watanzania woote waliojitokeza kwa wingi kwenye Futari hiyo ya Ramadhani Kareem.

Mwenyezi Mungu Awabariki sana.

Tembelea HAPA kwa picha zaidi

Pia shukrani za kipee zikufikie Kaka Michuzi kwa kutuunganisha humu Duniani.

Wako.
USWAZI blog..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. hew..!!!huu mwezi uishe..maana kufuturu sasa imekuwa issue..tumechoka jamani fanyeni mengine ya maana ya pamoja..Looool.

    ReplyDelete
  2. MBONA WADAU WA TOKYO MMECHOKA HIVYO UKO SI NDO KWENYE PESA ??? FUTARI NJEMA JAMANI HILA KAMA LIFE GUMU RUDINI TU MA KWENU !!

    ReplyDelete
  3. duh! hawa jamaa washakua sura zao kama wajapani vile vile kumbe ile nchi ukikaa tu sura inabadilika au wana technologia wale yakubadilisha?

    ReplyDelete
  4. Sayonara Japan. All the best wadau.

    ReplyDelete
  5. KWAKWELI NDUGU ZETU MMECHOKA KAMA LIFE NI NGUMU MRUDI TUU UKU MUONGEZE IDADI YA WAPIGA KURA TUPATE VIONGOZI WATAKAO TUPA KAUNAFUU.

    ReplyDelete
  6. We mchangiaji wa kwanza huna akili: mbona watu wakitoa picha za pamoja wanakunywa pombe hulalamiki? Tuendelee kufutaru pamoja, wasiopenda wajiue.

    ReplyDelete
  7. duh mazingira mbona kama ya hapa hapa nyumbani?yani background sio kabisa duhh taaabu kweli kweli i thot japan kumeendelea

    ReplyDelete
  8. aliye nnje haya jui ya ndani....
    maisha ya japani si ya kuuza sura...Daima Jp watu wanaangalia salio ktk Account siyo mavazi na sura... kwani hakuna mashindano ya kupaka poda huku kama ndugu zetu waishio europer na america ukitaka kuona tofauti..... huko kwetu kwa Bii mkubwa...watu wanarudi na nguo na picha tu...mashariki ya mbali wanashuka na.... jibu liko mjini

    ReplyDelete
  9. Wee mdau wa kwanza yaani una roho mbayaaaaa,umeshindwa kujificha kabiosa polee weee.

    ReplyDelete
  10. hiyo picha ya pli nina hakika waandazi wa ftari ni wanaume

    ReplyDelete
  11. wadau wajapani kweli mnaonaekana chokest sana hata hiyo sehemu mliyofuturia iko kama gongo la mboto uswazzz, hamuwaonagi wenzenu wa mji wa kusoma mabishow wa ukweli, mfungo haimaanishi watu wasiwe smart noo muwe smart ndo mnaongeza thawabu sio mnakaa kihasarahasara ili watu wajue mmefunga, mnaharibu saumu eeh! washington dc na kwingineko tumeni picha zenu wadau wa toronto leteni vitu hapa au nyie ni makobe?

    ReplyDelete
  12. we mdau acha kutetea pumba ati maisha ya japani sio kuuza sura. ndio mkae kama wachunga ng'ombe?? hatuambii kitu kazi na dawa ina maana huko ni kazi tuuu hakuna kujiachia?? mbona club ziko za kumwaga? acheni hizoo mjifunze kuwa watanasahati full stop!! ebu oneni tuu hao wamama sijui wadada walivyovaa, hivi mmeona wamama na mademu wa kibongo mwezi huu wa toba unatamani usiishe wanapendeza na mavazi yao kweli hadi wanatia hamasa na sie wa dini nyingine tuwaige, kwa jinsi wanavyopendeza. badilikeni mko majuu ati alah

    ReplyDelete
  13. wee mdau uliochoka na futari pole saaaaaaaaaaaaaaaana upele usiokuwa nao unakuwashia nini???????? Utajibeba siye wenyewe mwezi wetu tunaupenda tunatamani uendeleeeeee kuwa mvumilivu ili ujenge huo umoja unaosema pole sana

    ReplyDelete
  14. wee mdau uliochoka na futari pole saaaaaaaaaaaaaaaana upele usiokuwa nao unakuwashia nini???????? Utajibeba siye wenyewe mwezi wetu tunaupenda tunatamani uendeleeeeee kuwa mvumilivu ili ujenge huo umoja unaosema pole sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...